Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkwawa au kwa mtu yeyote anayejua anisaidie,
Kwanini simu zenye gharama kama ni 9 zinakua hazina tundu la earphone ,hazina redio na pia hawaruhusu kuweka external memory card na vitu kama hivyo .lakini pia napenda kujua wanaposema back ni gollila gras 5 na mbele ni gorrila glass 6 .wanamaanisha nini
 
Nitakujibu kuhusu hlo la gorilla glass,hyo ni glass ya juu kwa ajili ya protection ya simu,mara nying simu nyingi hutumia gorrila glass 6 kuzuia display isipate michubuko au crack kwa urahisi.kwa kawaida hyo 6 ni level ya scratching huwa zinaanzia 1 mpaka 10.manufacture wengi kwa ss kwenye simu zao flagship ship zile za gharama huwa hawatumii tena gorilla glass,wanatumia material ya surfare cryster ambayo huanza kupata scratch kwenye level 8.kwahyo hyo gorila ni glass protection inaweza kuwa mbele na nyuma au mbele kwenye kuioo tu.
 
Gorilla glass ni glass ambayo imekuwa modified chemically kuongeza uimara wake ili isikwaruzike kirahisi au kuvunjika. Hii ni product (brand name) inayotengenezwa na kampuni ya Corning. Hizo number ni aina ya matoleo kila inavyokwenda mbele inakuwa imeboreshwa kwenye uimara, na thickness wanapunguza huku waki maintain uimara. Kuna screen protection nyingine ukiaachana na gorilla glass kama dragontrail ambayo ipo kwenye device kama Google pixel 3a.
 
Kwa hiyo simu ikiwa na hiyo screen hakuna haja ya kuweka hizi protector za elfu 5
 
Asante sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…