Plan Radeem King
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 198
- 127
Mkuu nilichukua contact nimepata Xiaomi note 7 Safi Kabisa.
Shukrani
Boss naomba hizo contacts kuna jamaa yangu anahitaji redmi note 7 ya 64gb with 4gb ram faster
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nilichukua contact nimepata Xiaomi note 7 Safi Kabisa.
Shukrani
Niitupie macho.Ebu icheki hiyo z6 lite
Aliexpress bei yake pamoja na shipping ni 366,000/=
Ram 4gb Rom 64gb screen 6.2" snapdragon 710
Nitakujibu kuhusu hlo la gorilla glass,hyo ni glass ya juu kwa ajili ya protection ya simu,mara nying simu nyingi hutumia gorrila glass 6 kuzuia display isipate michubuko au crack kwa urahisi.kwa kawaida hyo 6 ni level ya scratching huwa zinaanzia 1 mpaka 10.manufacture wengi kwa ss kwenye simu zao flagship ship zile za gharama huwa hawatumii tena gorilla glass,wanatumia material ya surfare cryster ambayo huanza kupata scratch kwenye level 8.kwahyo hyo gorila ni glass protection inaweza kuwa mbele na nyuma au mbele kwenye kuioo tu.Mkwawa au kwa mtu yeyote anayejua anisaidie,
Kwanini simu zenye gharama kama ni 9 zinakua hazina tundu la earphone ,hazina redio na pia hawaruhusu kuweka external memory card na vitu kama hivyo .lakini pia napenda kujua wanaposema back ni gollila gras 5 na mbele ni gorrila glass 6 .wanamaanisha nini
Kwa hiyo simu ikiwa na hiyo screen hakuna haja ya kuweka hizi protector za elfu 5Gorilla glass ni glass ambayo imekuwa modified chemically kuongeza uimara wake ili isikwaruzike kirahisi au kuvunjika. Hii ni product (brand name) inayotengenezwa na kampuni ya Corning. Hizo number ni aina ya matoleo kila inavyokwenda mbele inakuwa imeboreshwa kwenye uimara, na thickness wanapunguza huku waki maintain uimara. Kuna screen protection nyingine ukiaachana na gorilla glass kama dragontrail ambayo ipo kwenye device kama Google pixel 3a.
Lenovo ziko vizuri sana shida yake ni kwamba hawatoi updates.Naona Lenovo zinauzwa bei poa kuliko xiaomi, vipi kuhusu Kubota?
Mfano Lenovo z6 lite
Mkuu mbona siioni hii kule aliexpress, ninakwama wapi?Ebu icheki hiyo z6 lite
Aliexpress bei yake pamoja na shipping ni 366,000/=
Ram 4gb Rom 64gb screen 6.2" snapdragon 710
Gorilla glass ni glass ambayo imekuwa modified chemically kuongeza uimara wake ili isikwaruzike kirahisi au kuvunjika. Hii ni product (brand name) inayotengenezwa na kampuni ya Corning. Hizo number ni aina ya matoleo kila inavyokwenda mbele inakuwa imeboreshwa kwenye uimara, na thickness wanapunguza huku waki maintain uimara. Kuna screen protection nyingine ukiaachana na gorilla glass kama dragontrail ambayo ipo kwenye device kama Google pixel 3a.
sasa tukinunua tukakosa update haitukuwa hasara kweli?Lenovo ziko vizuri sana shida yake ni kwamba hawatoi updates.
Ila kwa uzuri ziko vizuri nyingine zinashihda hata Xiaomi
Protector inaongeza ulinzi zaidi hasa pale simu inapoanguka na vitu vyote vyenye hardness inayoanzaia mohs scale 6 vinaweza kwaruza hizo gorila glassKwa hiyo simu ikiwa na hiyo screen hakuna haja ya kuweka hizi protector za elfu 5
Ndo hivyo Mkuu Ila kama si mtu wa kujali updates ziko poa tusasa tukinunua tukakosa update haitukuwa hasara kweli?
Kumbe zinakaribia kuwa sawa na tecnoNdo hivyo Mkuu Ila kama si mtu wa kujali updates ziko poa tu
Cheki amazon au ebayWakuu site gani naweza kupata hizi feature phones
Nokia 3310 3g
Nokia 8110 4g
Kwa bei rafiki, nimetafuta AliExpress bila mafanikio
CC
Mr. Mobile
Mwl. RCT
kcamp
Cheki jumia TanzaniaWakuu site gani naweza kupata hizi feature phones
Nokia 3310 3g
Nokia 8110 4g
Kwa bei rafiki, nimetafuta AliExpress bila mafanikio
CC
Mr. Mobile
Mwl. RCT
kcamp
Huwezi fananisha Lenovo na Tecno,Lenovo ni international std inauza had EuropeKumbe zinakaribia kuwa sawa na tecno