Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mi ninayo yangu ila sio global, yani kuna maeneo na maeneo ndio inashika mtandao tena kwa shida
 
Xiaomi Redmi Note 4x Best Budget Smartphone Ever.....380000/=

Hii ume agiza toka nje ya nchi au ume nunulia hapa hapa?
Kama umeagiza toka nje kwenye hiyo 380000/= kodi/ushuru ume waachia ngapi.......maana na mm nataka niagize toka nje ila na hofia wazee wa Ushuru/kodi.
 
Nimeagiza kutoka China...sijatoa kiasi chochote cha ushuru wala kodi, hiyo 380000/= ni price hadi naitia mkononi.
 
umetumia njia gani mpaka kuepuka kutoa kodi/ushuru?
Hakuna njia yoyote niliyotumia, Mara nyingi mizigo midogo midogo inayotumwa kwa njia ya posta haitozwi ushuru, Ila ukitumia express shipping services kama DHL, EMS, FEDEX, ARAMEX NK. Lazma ulipe ushuru hata kama parcel ni ndogo vipi.
 
bado ipo hiyo huduma posta?
 
wakuu naombeni msaada wenu nimunua mi max angu ila inae rom ya kichina nataka kuiflash nipate global stable rom naomben mnielekeze jinsi ya kuinstall hiyo global stable rom au anaejua anipe namba zake nimtafute hv
 
sd820 kwa dola 200 ni bonge la simu, ila le eco hio kampuni inafilisika, hivyo ununue hali ya kuwa unajua hutapata support yoyote, kuanzia spea ikiharibika, support ya software ikizingua, warranty etc.
Pia battery 3100ah tofauti na xiaomi redm note 4 ni 4100ah
 
Naona kama wameiminya bettery 3400ah
Kwa watu wa mazoezi isikupite hii smart band from Xiaomi Mi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…