KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ongeza 30000 uchukue Xiaomi redmi 4x,hautojutia hela yako mkuu..![]()
![]()
Kazi ni kwako....
Line ngapi hii, naona ka imei 4 hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza 30000 uchukue Xiaomi redmi 4x,hautojutia hela yako mkuu..![]()
![]()
Kazi ni kwako....
Ina line mbili kama haujaweka memory card. Maana sehemu ya line 2 ndio sehemu ya kuweka memory card.Line ngapi hii, naona ka imei 4 hapo.
We unafanya hii biashara?Ina line mbili kama haujaweka memory card. Maana sehemu ya line 2 ndio sehemu ya kuweka memory card.
Nipo mtwara sasa,.Uwaga nawaagizia wanafunzi wenzangu wa chuo, then wananilipa kiasi kidogo, kama upo Dom njoo nikuagizie.
kivipi au setting tu mkuu xiaomi wanajua Sana aisee cheza n settingMi ninayo yangu ila sio global, yani kuna maeneo na maeneo ndio inashika mtandao tena kwa shida
![]()
![]()
![]()
![]()
Xiaomi Redmi Note 4x Best Budget Smartphone Ever.....380000/=
Nimeagiza kutoka China...sijatoa kiasi chochote cha ushuru wala kodi, hiyo 380000/= ni price hadi naitia mkononi.Hii ume agiza toka nje ya nchi au ume nunulia hapa hapa?
Kama umeagiza toka nje kwenye hiyo 380000/= kodi/ushuru ume waachia ngapi.......maana na mm nataka niagize toka nje ila na hofia wazee wa Ushuru/kodi.
Nimeagiza kutoka China...sijatoa kiasi chochote cha ushuru wala kodi, hiyo 380000/= ni price hadi naitia mkononi.
Boss hv ile ofa ya festival itaisha lini?Nimeagiza kutoka China...sijatoa kiasi chochote cha ushuru wala kodi, hiyo 380000/= ni price hadi naitia mkononi.
Festival iliisha ndani ya 24hrs, 11 November, but kuna store wanauza kwa hiyo bei.Boss hv ile ofa ya festival itaisha lini?
umetumia njia gani mpaka kuepuka kutoa kodi/ushuru?Nimeagiza kutoka China...sijatoa kiasi chochote cha ushuru wala kodi, hiyo 380000/= ni price hadi naitia mkononi.
Hakuna njia yoyote niliyotumia, Mara nyingi mizigo midogo midogo inayotumwa kwa njia ya posta haitozwi ushuru, Ila ukitumia express shipping services kama DHL, EMS, FEDEX, ARAMEX NK. Lazma ulipe ushuru hata kama parcel ni ndogo vipi.umetumia njia gani mpaka kuepuka kutoa kodi/ushuru?
bado ipo hiyo huduma posta?Hakuna njia yoyote niliyotumia, Mara nyingi mizigo midogo midogo inayotumwa kwa njia ya posta haitozwi ushuru, Ila ukitumia express shipping services kama DHL, EMS, FEDEX, ARAMEX NK. Lazma ulipe ushuru hata kama parcel ni ndogo vipi.
Ndiobado ipo hiyo huduma posta?
Pia battery 3100ah tofauti na xiaomi redm note 4 ni 4100ahsd820 kwa dola 200 ni bonge la simu, ila le eco hio kampuni inafilisika, hivyo ununue hali ya kuwa unajua hutapata support yoyote, kuanzia spea ikiharibika, support ya software ikizingua, warranty etc.
Naona kama wameiminya bettery 3400ahIcheck hapa ni kama 1.3M
![]()
![]()
Xiaomi Mi Mix 2 4G Phablet 5.99 inch MIUI 8 Snapdragon 835 2.45GHz Octa Core 6GB RAM 128GB ROM Fingerprint Scanner 12.0MP Rear Camera
Main Features:
Display: 5.99 inch, 2160 x 1080 pixels screen
CPU: Snapdragon 835 2.45GHz Octa Core
System: MIUI 8
Camera: 12.0MP rear camera + 5.0MP front camera
Sensor: Accelerometer, Ambient Light Sensor, E-Compass, Gravity Sensor, Gyroscope, Hall Sensor, Proximity Sensor
SIM Card: dual SIM dual standby, Nano SIM / Nano SIM
Kwa watu wa mazoezi isikupite hii smart band from Xiaomi Mi.
![]()
![]()
Aongeze 30,000 unamaanisha kwa 280,000.?Ongeza 30000 uchukue Xiaomi redmi 4x,hautojutia hela yako mkuu..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kazi ni kwako....