Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mnaposema notch n nini hasa tunatofutiana uelewa
Kwa simu nyingi za mwaka huu kanotch sio rahisi kukaepuka. Kama una mkwanja chukua mi 9T or realme X front camera yake inachomoza kwa juu.

Hata mimi notch kabla sijapata simu yenye notch ilikuwa inaniboa sana ila baada ya kukaa nayo nishaizoea na wala hainipi shida na simu langu lina bonge la notch sio kama ile ya RN7.
 
Mnaposema notch n nini hasa tunatofutiana uelewa
Hako kasehemu kajuu kalikoingia kwenye screen.
images%20(5).jpg
 
Kwa simu nyingi za mwaka huu kanotch sio rahisi kukaepuka. Kama una mkwanja chukua mi 9T or realme X front camera yake inachomoza kwa juu.

Hata mimi notch kabla sijapata simu yenye notch ilikuwa inaniboa sana ila baada ya kukaa nayo nishaizoea na wala hainipi shida na simu langu lina bonge la notch sio kama ile ya RN7.

Poa shukran ngoja nichukue tu redmi note 7 pro
 
Naomba kujua maana ya maneno yafuatayo(au herufi) kwenye smartphone
Play
X
T
s
e
Pro
Max
Lite
Note
 
Hivi hizi Xiaomi ambazo ni China version ni nzuri kweli?! Mfano ukiitumia nje ya China (mfano;Bongo) matatizo yake ni yapi?!
Naombeni maelekezo Tafadhali!

Mr. Mobile
Chief-Mkwawa
Xiaomi zote Ni China ila zipo specifically kwa solo la ulaya zipo za India pia na simu zenye viwango .simu hizi huuzwa Japan .marekani .na soko la ulaya kwa ujumla
 
Nmechukua A30 ram 4gb rom 64gb kwa kwel sijutii iko poa sana fasta, smooth super amoled kwa 450k kariakoo betr 4000mah
20190916_192021.jpeg
20190916_192034.jpeg
 
Siku hizi AE standard shipping wanatoa tracking no. zinazoanza na LP?
 
Attachments

  • IMG-20190918-WA0002.jpg
    IMG-20190918-WA0002.jpg
    32 KB · Views: 18
Back
Top Bottom