Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

nilikuwa natumia not 6 pro sasa jana nimeupdate inaniadikia simu iko locked iko assosieted na namba moja hiv ya kenya so inataka password ili kuunlock nafanyaje wadau
 
nilikuwa natumia not 6 pro sasa jana nimeupdate inaniadikia simu iko locked iko assosieted na namba moja hiv ya kenya so inataka password ili kuunlock nafanyaje wadau
Hyo simu ni second hand?
Inaonekana aliyekuwa anatumia mwanzo hakutoa mi account yake hapo,ndomaana inadai paasword ili kuconfirm.
 
nimempelekea fundi mmoja hapa mwanza katoka jasho anasema hii ni kama iphone vile ati mpaka aipeleke nairobi, so nahitaji msaada wenu wajuvi
 
Wakuu mbona redmi note 7pro naitafuta sana aliexpress siipati? Au stock ishaishagaa,?
 
Huawei anagaragaza watu huko aisee..huawei mate 30 na huawei mate 30 pro..hatari.
 
Ni kweli kabisa. Ni kama wameziondoa..... Mie nili ipata kwa kumuagiza jamaa flani anasoma huko..... Ila ni mashine ya ukweli.....
Wakuu mbona redmi note 7pro naitafuta sana aliexpress siipati? Au stock ishaishagaa,?
 
Hiyo simu bila shaka ulinunua kwa mtu inavyoonekana mwenye simu kailock remotely. Au labda umeristore hivyo inadai mi account iliyokuwa iko installed. Kuitoa hiyo itakuwa si rahisi especially kama bootloader itakuwa locked inabidi upate account ya hiyo simu ndio uweze ku unlock.
It means Mi nao wana security nzito hivi ambayo inashindikana?
 
It means Mi nao wana security nzito hivi ambayo inashindikana?
Yah sikuizi wamebana. Zamani kulikuwa kuna njia ya ku bypass ila wakablock kutokana na baadhi ya sellers kuuza simu za china market kwa kuflash global ROM bila ku unlock bootloader.
 
Yah sikuizi wamebana. Zamani kulikuwa kuna njia ya ku bypass ila wakablock kutokana na baadhi ya sellers kuuza simu za china market kwa kuflash global ROM bila ku unlock bootloader.
Ko mi yangu ikipotea Mtu hataweza ku access.
 
Ko mi yangu ikipotea Mtu hataweza ku access.
Yes. Ila hakikisha mi account ipo halafu na simu kadi yako ikiwa activated mtu akiweka line nyingine kwenye micloud huwa inaonyesha namba yake na location yake.
 
Back
Top Bottom