Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
- Thread starter
-
- #3,601
Kwa simu nyingi za mwaka huu kanotch sio rahisi kukaepuka. Kama una mkwanja chukua mi 9T or realme X front camera yake inachomoza kwa juu.
Hata mimi notch kabla sijapata simu yenye notch ilikuwa inaniboa sana ila baada ya kukaa nayo nishaizoea na wala hainipi shida na simu langu lina bonge la notch sio kama ile ya RN7.
Hako kasehemu kajuu kalikoingia kwenye screen.Mnaposema notch n nini hasa tunatofutiana uelewa
Kwa simu nyingi za mwaka huu kanotch sio rahisi kukaepuka. Kama una mkwanja chukua mi 9T or realme X front camera yake inachomoza kwa juu.
Hata mimi notch kabla sijapata simu yenye notch ilikuwa inaniboa sana ila baada ya kukaa nayo nishaizoea na wala hainipi shida na simu langu lina bonge la notch sio kama ile ya RN7.
Zinapatikana wapiPoa shukran ngoja nichukue tu redmi note 7 pro
Hako kasehemu kajuu kalikoingia kwenye screen.View attachment 1209668
Hapo kunakuwa na camera, sensors na speaker kwa baadhi ya simu. Wanafanya hivyo sababu screen inakuwa imechukua eneo zima la simu.Ni urembo tu au kana kazi gani maana mie sielewi tu
Xiaomi zote Ni China ila zipo specifically kwa solo la ulaya zipo za India pia na simu zenye viwango .simu hizi huuzwa Japan .marekani .na soko la ulaya kwa ujumlaHivi hizi Xiaomi ambazo ni China version ni nzuri kweli?! Mfano ukiitumia nje ya China (mfano;Bongo) matatizo yake ni yapi?!
Naombeni maelekezo Tafadhali!
Mr. Mobile
Chief-Mkwawa
Doh 450k ungepata Mi kali sana Asee.Nmechukua A30 ram 4gb rom 64gb kwa kwel sijutii iko poa sana fasta, smooth super amoled kwa 450k kariakoo betr 4000mah View attachment 1210389View attachment 1210391
Mi ipi hiyo?Doh 450k ungepata Mi kali sana Asee.
Hii ni simu?Je kwa sisi tunaotumia KYOCERA je?
Doh 450k ungepata Mi kali sana Asee.
Mimi huwa nanunua kariakoo,sina uvumilivu wa kusubiria,japo sijajua nichukue RN7 pro au Mi A3Zinapatikana wapi
Mkuu naiwaza hiyo miA 3 hapaMimi huwa nanunua kariakoo,sina uvumilivu wa kusubiria,japo sijajua nichukue RN7 pro au Mi A3
Mkuu naiwaza hiyo miA 3 hapa
| Mi A2 Resolution | 1080 x 2160 pixels, 18:9 ratio (~403 ppi density) |
| Mi A3 Resolution | 720 x 1560 pixels, 19.5:9 ratio (~286 ppi density) |