Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wadau kuna usalama wa pesa kununua bidhaa Jumia?
Msaada tafadhali nataka kujilipua
Usalama upo pale umekuwa makini. Ila usiwe makini kupitiliza. Jumia sijawaji tumia ila ninachojua online store yoyote lazima iwe na upande wa review utakapokuta fèedback za raia walonunua. Utaona pia kauza bidhaa ngapi na pia ni member wa level gan
 
Jumia ina hivyo vitu ulivyovitaja kweli??
Naona ipo LOCAL sana JUMIA
Na Bei zao sio Rafiki kabisa
Bei kubwa sana
 
Review na feedback za wateja hamna mkuu
 
Wakuu mzigo nimeuagiza tarehe 08/09/19 mpaka sasa tracking inasoma kama ifuatavyo, lakini katika maandishi ya kijani hapa sijaelewa tafadharini naomba mnieleweshe.
 
Yes. Ila hakikisha mi account ipo halafu na simu kadi yako ikiwa activated mtu akiweka line nyingine kwenye micloud huwa inaonyesha namba yake na location yake.
Ila aki unlock Bootloader mkuu hupati kitu.

Ajiribu ku unlock Bootloader then a flash kwa ROM sahihi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…