Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

mkuu simu hizi za kichina nyingi camera zake ni average, ni nadra sana kukuta zina camera hio kali sana.

xiaomi ambazo camera yake ni angalu ni hizi Mi mfano mi max, mi6, mi mix etc ila bei yake itakuwa ni kubwa kidogo.

battery, storage kubwa na 4G zinapatikana kwenye karibia xiaomi zote.

una uharaka sana? xiaomi redmi note 5 itatoka muda si mrefu, pengine ikawa na camera nzuri maana tetesi watatumia dual camera,
 
Nashukuru sana mkuu, hapana sina haraka sana naweza subiri mkuu
 
Unaizungumziaje hii MI4c

Main Features:
XIAOMI Mi4C 4G Smartphone Android 5.1 Snapdragon 808 64-bit Hexa Core 1.44GHz 13.0MP + 5.0MP Dual Cameras, bei yake ni 380k....

kwa nguvu ya simu ni equivalent na xiaomi redmi note 3, ila vitu vyengine kama display, camera, ram etc itakuwa vizuri zaidi.

hivyo kwa hio bei ni simu nzuri, sema ni ya zamani inabidi uhakikishe ipo katika hali nzuri.
 
Naona display ni ndogo 5.1"
 
Bora nisubirie hii ingawa nilikuwa na mpango nochukue note 4x
 
Je hizi xiaomi ni nzuri kuzizidi iPhone,samsung,sony na lg? Maana sisi wengine hatuangalii mambo ya kukaa na chaji
 
Je hizi xiaomi ni nzuri kuzizidi iPhone,samsung,sony na lg? Maana sisi wengine hatuangalii mambo ya kukaa na chaji
cha kukuhakikishia tu ni kua ubora wa xiaomi ni sawa sawa na iphone pamoja na samsung..

quality yake abari nyngine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…