Ujiandae kisaikolojia na tatizo lolote utakalo kutana nalo kwenye hiyo simu.Huku kwenye refurbished kuna simu kali kinyama afu bei chee
Umefanya malipo lini? Kama ni hizi siku jamaa wapo mapumziko hivyo wataanza kutuma mzigo kuanzia tarehe 4 octoba.Wadau baada ya kufanya malipo huwa inachukua mda gani seller aanze kutuma mzigo??
NB:ndo mieagiza mzigo wangu was kwanza kabisa
Are you serious?Redmi note 7 pro
Ram 4gb
Storage 64
Used ina wiki 2
Unapewa box na risiti
Chaji,back cover, earphone
Bei 370k
Nipo Gongolamboto
isomeke hivyo,kamata fulsa wacha kushangaa.Are you serious?
Si gaming smartphone hiyo?Nna huyu mwamba, hakika ni mwamba mmoja matata sana. Kitu cha black shark, kitu ya kazi.
View attachment 1218513
Huyo seller nahisi atakua FantancyUmefanya malipo lini? Kama ni hizi siku jamaa wapo mapumziko hivyo wataanza kutuma mzigo kuanzia tarehe 4 octoba.
Pia hutegemea na seller kama mzigo upo ni kuanzia saa 24 anaanza processing siku kama mbili tu mzigo unakuwa umetumwa.
Kuna seller alitumia siku 10 hajatuma mzigo nika cancel order, walio vumilia walitumiwa mzigo siku ya 12.
Umefanya malipo lini? Kama ni hizi siku jamaa wapo mapumziko hivyo wataanza kutuma mzigo kuanzia tarehe 4 octoba.
Pia hutegemea na seller kama mzigo upo ni kuanzia saa 24 anaanza processing siku kama mbili tu mzigo unakuwa umetumwa.
Kuna seller alitumia siku 10 hajatuma mzigo nika cancel order, walio vumilia walitumiwa mzigo siku ya 12.
Huyu alinizingua nika cancel orderNimefanya jana ,seller ni: Mi France store
Wana mapumziko gani mkuu??
Sikukuu zao za Kichina wanakula bata wiki nzima.Nimefanya jana ,seller ni: Mi France store
Wana mapumziko gani mkuu??
Alikuzingua nini?Huyu alinizingua nika cancel order
Hapo wanamaanisha usubirie mzigo huenda ukatumwa ndani ya siku 1- 44 .Mkuu shaffin simbawene hapo nielekeze kidogo kuhusu hiyo reminder View attachment 1220892
Yaap mkuu nilipo ona ana tuma mizigo ndio nikaweka tena order.Huyo seller nahisi atakua Fantancy
Umeshajibiwa hapo juu mkuu..uwe tu mpole wamalize Holiday yao.Nimefanya jana ,seller ni: Mi France store
Wana mapumziko gani mkuu??
Hawa Fantasy wanalingaga sanaYaap mkuu nilipo ona ana tuma mizigo ndio nikaweka tena order.
kuhelemewa na order mkuu!!!Hawa Fantasy wanalingaga sana
Absolutely... Na hawasemi kama wapo out of stockkuhelemewa na order mkuu!!!
ukute wakati mwingine wanapokea order store ikiwa imekauka (out of stock) so watakuweka hadi wapate mzigo mwingine ndio waship
Simu mbovu hizo usijaribu utajutaHuku kwenye refurbished kuna simu kali kinyama afu bei chee