Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wadau baada ya kufanya malipo huwa inachukua mda gani seller aanze kutuma mzigo??

NB:ndo mieagiza mzigo wangu was kwanza kabisa
Umefanya malipo lini? Kama ni hizi siku jamaa wapo mapumziko hivyo wataanza kutuma mzigo kuanzia tarehe 4 octoba.

Pia hutegemea na seller kama mzigo upo ni kuanzia saa 24 anaanza processing siku kama mbili tu mzigo unakuwa umetumwa.

Kuna seller alitumia siku 10 hajatuma mzigo nika cancel order, walio vumilia walitumiwa mzigo siku ya 12.
 
Huyo seller nahisi atakua Fantancy
 
Nimefanya jana ,seller ni: Mi France store
Wana mapumziko gani mkuu??

Sikukuu zao za Kichina wanakula bata wiki nzima.
October 1st – 7th 2019National Holiday ****

Chines.jpg
chin.jpg
 
Nimefanya jana ,seller ni: Mi France store
Wana mapumziko gani mkuu??
Umeshajibiwa hapo juu mkuu..uwe tu mpole wamalize Holiday yao.

Maana uki cancel order pesa haita rudi ile waliyo kata lazima ipungue mkuu labda ukute hiyo siku dola imeshuka. Na hakuna seller anaetuma mzigo hii Holiday

Wakimaliza Holiday ukiona haeleweki ndio u cancel order.
 
Back
Top Bottom