Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nasikia M-pesa Master Card ni Prepaid card tu kwamba unafanyia malipo ila haipokei... Hii imekaa vp?
 
Naomba unitajie simu ya xiaomi au Oppo ya 350-450tsh online, yenye super amoled screen, inayokubali bands zote.
Vp Xiaomi note 7 inayo s-Amoled.
 
Nimenunua redmi note 7 ya 6/64gm, kama wiki 2 iliyopita, juzi nili download app ya dstv ila kila nikitaka ku play channel napata ujumbe kuwa siwezi kutumia app yao kama simu yangu haijawa verified na google, kweli nikaenda kuchungulia kule google play inaonekana simu yangu siyo verified nikajua nimeuziwa simu fake ila nikajaribu kutuma imei tcra kujua kama ni fake au lah ila sms ya tcra inaonyesha simu yangu siyo fake ni xiaomi, sasa kwanini simu hii siyo verified na google,
 
Nadhani simu yako itakua Chines Rom,wapo wataalum humo watakushauri la kufanya
 
Mkuu bado sijakuelewa...
Anae sema amesha rudisha pesa ni?

Na anaesema uwasiliane na Aliexpress ni nani?
 
Mkuu hiyo lugha, mbona ni mtihani wakati wa ku-order?!
 
Mimi nimepokea refund mara kadhaa toka PayPal na Alipay via mpesa Mastercard
Mkuu unewzaje kujiunga na Alipay maana kipindi fulani kwenye list ya nchi sikuona Tz nilijaribu kuwauliza lakini sikupata majibu. Tafadhali nisaidie maelezo ili niweze kulink catd na alipay. Natanguliza shukrani zangu kwako
 
Mkuu unewzaje kujiunga na Alipay maana kipindi fulani kwenye list ya nchi sikuona Tz nilijaribu kuwauliza lakini sikupata majibu. Tafadhali nisaidie maelezo ili niweze kulink catd na alipay. Natanguliza shukrani zangu kwako
Ukishajiregister ali express unaingia automatically mwenye system ya Alipay.
 
Ningependa kujua jinsi ulivyolink.
Weka kama buku 5 kwenye virtual card yako then ingia PayPal ujaze detail zote muhimu pamoja na taarifa źa card yako.
Ukikamilisha utatumiwa verifications code toka mpesa au ingia https://www.whatsonmycard.com/ utaingiza namba za card yako then apply statement ili upate hizo code za kuwezesha card yako kuwa linked
 


Kama kawaida Singapore Post siku 10 kitu kishatia nanga Shida ni hawa ndugu zetu wa TPC ndio hawasomeki.
mzigo umetua Dar tangu 26/09/2019 na Destination ni Temeke Chang'ombe ila naona unalanda landa tu wiki sasa mara Kariakoo,Mara Pugu Road yaani hata sielewi kabisa hawa jamaa kazi imewashinda au?
Wakongwe kina Mwl.RCT nini ninachoendelea hapa?
UPDATES
Mzigo nimeupata posta husika 08/10/2019 seller alikosea kwenye address
 
Pugu Road yaani hata sielewi kabisa hawa jamaa kazi imewashinda au?
Wazoefu kina @Mwl.RCT nini ninachoendelea hapa?
Nadhani kuna shida kwenye uandishi wa anwani.

Chakufanya, wapigie TPC hq, wape hiyo tracking number na wape maelekezo na mzigo utakufikia.

au Fika wewe binafsi posta mpya waonyeshe hiyo print out na watakusaidia kuutafuta huo mzigo na utakabidhiwa.
 
Hiv kama singapore post hayuko kwenye list ya shipping unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…