Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unitajie simu ya xiaomi au Oppo ya 350-450tsh online, yenye super amoled screen, inayokubali bands zote.Smartphones hazijaundwa kufanyiwa upgrade hivyo hii replacement haiwezekani kufanyika. Kwa smartphones kadhaa za zamani zilikuwa zina matoleo yote mawili ya screen AMOLED na LCD kwahiyo ilikuwa inawezekana kufanya replacement.
Ila kwa upande wa pili kama unavyojua screen za AMOLED ni ghali sana hivyo kuna watengenezaji wa hizi screen wanatengeneza LCD screen endapo mtu atashindwa kumudu gharama za AMOLED screen pale simu yake ikipata damage na akashindwa kumudu gharama, ananunua na kuifunga LCD screen na itafanya kazi bila shida. Lakini kwa swali lako eti utoe LCD uweke AMOLED is highly unlikely to be possible!
Tofauti kubwa ya LCD screen inakuwa ina taa kwa nyuma ambazo ndio zinazalisha mwanga wa screen, wakati S-AMOLED screen inakuwa inazalisha mwanga yenyewe ndani ya screen. Hivyo inaifanya AMOLED screen kuwa ni more power efficient kuliko LCD screen inayotegemea taa kuzalisha mwanga.
Kwenye hizi Chipset za simu kuna kampuni inaitwa ARM ndio mtengenezaji, na baadae anauza technology yake kwa haya makampuni kama Qualcomm (Snapdragon) Samsung (Exynos), Huawei (Hisilicon), Apple. Halafu ndio wanaenda ku modify wao wenyewe wanavyotaka, kama kuongezewa speedi au uwezo wa graphics na kadhalika. Hivyo kila SoC ina pros & cons kutokana ni kipaumbele cha hiyo kampuni.
Nadhani utakuwa umepata uelewa kwa kiasi fulani.
Redmi series zenye super amolef hakuna,labda uende kwenye mi series.Naomba unitajie simu ya xiaomi au Oppo ya 350-450tsh online, yenye super amoled screen, inayokubali bands zote.
Vp Xiaomi note 7 inayo s-Amoled.
Nadhani simu yako itakua Chines Rom,wapo wataalum humo watakushauri la kufanyaNimenunua redmi note 7 ya 6/64gm, kama wiki 2 iliyopita, juzi nili download app ya dstv ila kila nikitaka ku play channel napata ujumbe kuwa siwezi kutumia app yao kama simu yangu haijawa verified na google, kweli nikaenda kuchungulia kule google play inaonekana simu yangu siyo verified nikajua nimeuziwa simu fake ila nikajaribu kutuma imei tcra kujua kama ni fake au lah ila sms ya tcra inaonyesha simu yangu siyo fake ni xiaomi, sasa kwanini simu hii siyo verified na google,View attachment 1222884
Mkuu bado sijakuelewa...mimi kuna kitu nilinunua hakikufika nikaopen dispute wakasema watarefund within 3-20 days ila mbaka sasa ni almost 2 month sion pesa kwenye master card nikiwachek wanasema washarudisha niwasiliane na aliexpress
nawasiliana nao vp kwenye email au kwenye app? maana hata sion sehem ya kuwasiliana nao
Yangu inapokea pesa nimesharudishiwa pesa mara mbili kwenye MasterCard ya Mpesa.Nasikia M-pesa Master Card ni Prepaid card tu kwamba unafanyia malipo ila haipokei... Hii imekaa vp?
Mimi nimepokea refund mara kadhaa toka PayPal na Alipay via mpesa MastercardYangu inapokea pesa nimesharudishiwa oesa mara mbili kwenye MasterCard ya Mpesa.
Ningependa kujua jinsi ulivyolink.Mimi nimepokea refund mara kadhaa toka PayPal na Alipay via mpesa Mastercard
Mkuu hiyo lugha, mbona ni mtihani wakati wa ku-order?!Yes kwenye AliExpress zipo
TZS 565,519.36 | Realme X Mobile Phone 6.35 inch AMOLED Screen 4GB RAM 64GB ROM Snapdragon 710 Octa Core 48.0MP 3765mAh Super VOOC Smartphone
TZS 457,468.58 | Original Realme X Lite Mobile Phone 6.3 inch 4GB RAM 64GB ROM Snapdragon 710 Octa Core Android 9.0 Dual Rear Camera Smartphone
TZS 459,767.54 | Global Version OPPO realme 3 pro 6.3 inch 4/6GB 64/128GB Smart Moblie Phone 4045mAh 16+5MP Dual Camera VOOC Fast Charge 3.0
Mkuu unewzaje kujiunga na Alipay maana kipindi fulani kwenye list ya nchi sikuona Tz nilijaribu kuwauliza lakini sikupata majibu. Tafadhali nisaidie maelezo ili niweze kulink catd na alipay. Natanguliza shukrani zangu kwakoMimi nimepokea refund mara kadhaa toka PayPal na Alipay via mpesa Mastercard
Lugha gani?Mkuu hiyo lugha, mbona ni mtihani wakati wa ku-order?!
Watu wanaorder hadi nguo za ndani seuze mswakiUkibobea kuorder online unajikuta hadi mswaki Unaorder
Ukishajiregister ali express unaingia automatically mwenye system ya Alipay.Mkuu unewzaje kujiunga na Alipay maana kipindi fulani kwenye list ya nchi sikuona Tz nilijaribu kuwauliza lakini sikupata majibu. Tafadhali nisaidie maelezo ili niweze kulink catd na alipay. Natanguliza shukrani zangu kwako
Weka kama buku 5 kwenye virtual card yako then ingia PayPal ujaze detail zote muhimu pamoja na taarifa źa card yako.Ningependa kujua jinsi ulivyolink.
Nadhani kuna shida kwenye uandishi wa anwani.Pugu Road yaani hata sielewi kabisa hawa jamaa kazi imewashinda au?
Wazoefu kina @Mwl.RCT nini ninachoendelea hapa?
Hiv kama singapore post hayuko kwenye list ya shipping unafanyaje?View attachment 1223869
Kama kawaida Singapore Post siku 10 kitu kishatia nanga Shida ni hawa ndugu zetu wa TPC ndio hawasomeki.
mzigo umetua Dar tangu 26/09/2019 na Destination ni Temeke Chang'ombe ila naona unalanda landa tu wiki sasa mara Kariakoo,Mara Pugu Road yaani hata sielewi kabisa hawa jamaa kazi imewashinda au?
Wakongwe kina Mwl.RCT nini ninachoendelea hapa?
Asante sanaWeka kama buku 5 kwenye virtual card yako then ingia PayPal ujaze detail zote muhimu pamoja na taarifa źa card yako.
Ukikamilisha utatumiwa verifications code toka mpesa au ingia https://www.whatsonmycard.com/ utaingiza namba za card yako then apply statement ili upate hizo code za kuwezesha card yako kuwa linked