Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hakuna kucancel dispute we Komaa nao upate refund then unambandika nyota 1 akomage kuleta uhuni kwenye order za watu.
Hiyo coupon anayotaka kukuzuga nayo huenda usiitumie kama Huna mpango wa kuagiza tena hivi karibuni.
Hawa dawa yao ni 1 star tu, maana wanatia hasira
Screenshot_20191021-194620.jpeg
 
Hakuna kucancel dispute we Komaa nao upate refund then unambandika nyota 1 akomage kuleta uhuni kwenye order za watu.
Hiyo coupon anayotaka kukuzuga nayo huenda usiitumie kama Huna mpango wa kuagiza tena hivi karibuni.
Tafadhali angalia Pm yako kiongozi.
 
Redmi Note 7 inatafutwa weekend offer 350k - 370k
Sidhani kama kuna mdau humu atakubaliana na offer yako!!
Labda awe MTU aliyepewa Zawadi, mwenye shida na $ za haraka au aliyeikwapua sehemu sehemu.
Ila Kwa mdau aliyeisotea na kuiweka GCAM hawezi kufanya upuuzi wa kukuuzia bei ya kununulia Kule uchina
 
Sidhani kama kuna mdau humu atakubaliana na offer yako!!
Labda awe MTU aliyepewa Zawadi, mwenye shida na $ za haraka ai aliyeikwapua sehemus ehemu.
Ila Kwa mdau aliyeisotea na kuiweka GCAM hawezi kufanya upuuzi wa kukuuzia bei ya kununulia Kule uchina
Asante kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom