Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Hawa dawa yao ni 1 star tu, maana wanatia hasiraHakuna kucancel dispute we Komaa nao upate refund then unambandika nyota 1 akomage kuleta uhuni kwenye order za watu.
Hiyo coupon anayotaka kukuzuga nayo huenda usiitumie kama Huna mpango wa kuagiza tena hivi karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji23]bila shaka mkuu ulimpa nyota tatu[emoji23][emoji23]Hawa dawa yao ni 1 star tu, maana wanatia hasira View attachment 1240320
Hapo ndani ya week unapokea mzigo wako.Inachukua muda gani kufika posta za mkoani toka kufika kwa mzigoView attachment 1240373
Tafadhali angalia Pm yako kiongozi.Hakuna kucancel dispute we Komaa nao upate refund then unambandika nyota 1 akomage kuleta uhuni kwenye order za watu.
Hiyo coupon anayotaka kukuzuga nayo huenda usiitumie kama Huna mpango wa kuagiza tena hivi karibuni.
Sidhani kama kuna mdau humu atakubaliana na offer yako!!Redmi Note 7 inatafutwa weekend offer 350k - 370k
Asante kwa mchango wako.Sidhani kama kuna mdau humu atakubaliana na offer yako!!
Labda awe MTU aliyepewa Zawadi, mwenye shida na $ za haraka ai aliyeikwapua sehemus ehemu.
Ila Kwa mdau aliyeisotea na kuiweka GCAM hawezi kufanya upuuzi wa kukuuzia bei ya kununulia Kule uchina
Bei ya sokoni hiyo plus wiki 3 hadi mwezi na ushee kusubiria then linganisha na offer yakoAsante kwa mchango wako.
Bei ya sokoni hiyo plus wiki 3 hadi mwezi na ushee kusubiria then linganisha na offer yako
Anazungumza kama atazamavyo nafsini mwake.Mzee anaweza okota mbona unamvunja moyo hivyo
Anazungumza kama atazamavyo nafsini mwake.
Biashara ina watu na mipango mingi bado hajajua.
Mpya au used?Redmi Note 7 inatafutwa weekend offer 350k - 370k
Ninakuja pmMpya au used?
PoaNinakuja pm
yawezekana Kila mtu na Ridhiki yake!!!Mzee anaweza okota mbona unamvunja moyo hivyo
Nisamee kama nimekukwaza Mzee babaAnazungumza kama atazamavyo nafsini mwake.
Biashara ina watu na mipango mingi bado hajajua.
Anaitaka faster wiki end hii Mambo ya kusubiria Mzee hayawezi.Mbona aliexpress zipo mpk za bei uliotaja laki 360
Hamna noma mzee baba.Nisamee kama nimekukwaza Mzee baba