Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Hawa dawa yao ni 1 star tu, maana wanatia hasiraHakuna kucancel dispute we Komaa nao upate refund then unambandika nyota 1 akomage kuleta uhuni kwenye order za watu.
Hiyo coupon anayotaka kukuzuga nayo huenda usiitumie kama Huna mpango wa kuagiza tena hivi karibuni.