Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sina anuani ya posta. Hii sehem ya kujaza anuani (ukiwa unafungua account aliexpress ) nijaze nini. Niko Dar es salaam
 
Sina anuani ya posta. Hii sehem ya kujaza anuani (ukiwa unafungua account aliexpress ) nijaze nini. Niko Dar es salaam
Mimi mwenyewe sina anuani mwaka mmoja sasa, naagiza mizigo na ninaipata
Address yangu nimejaza kama hivi [emoji1484]
 
cheki screenshot nimeweka hapo, nimeanza na jina, ikafata namba ya simu
Alafu Nikaendelea na vingine.........

Sasa hapo blank ya address mimi nimejaza branch ya posta ninakotaka nipokee mzigo (nimeweka makao makuu ya posta Dar es Salaam)

Nimejaza POST CODE 11000 amabayo ndio post code ya wilaya ya Ilala ilipo posta nitakayopokea mzigo wangu

Jina utakalojaza lifanane na kitambulisho cha mtu atakayechukua mzigo pale posta)
Mimi mwenyewe sina anuani mwaka mmoja sasa, naagiza mizigo na ninaipata
Address yangu nimejaza kama hivi [emoji1484]View attachment 1241692
 
Ushauri tafadhali
Hii simu inaeweza tumika hapa Tz
 

Attachments

  • Screenshot_20191023-132540.png
    85 KB · Views: 2
Wakuu Nilikua nimefungua dispute tangu wiki iliyopita
Sasa juzi kadi ya vodacom iliexpire nikawa nimerenew juzi hiyohiyo wakati dispute bado ipo on process...

Leo Nacheki pale ambapo huwa nauona mzigo niliofanya dispute siuomi, yaani naambiwa empty

Sasa sijui ndo nishalipwa au vipi? na hela ntaihakiki vipi kama imerudishwa na kama haijarudishwa nifanyeje niipate?
 
Hiyo dispute imeisha na ipo folder ya to be reviewed au cheki kwenye all orders utaiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…