BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Mkuu wameandika DISPUTE FINISHED, inamaana dispute ikiisha nifanye nini ili nipate hela yanguHiyo order dispute imeisha na folder ya to be reviewed au cheki kwenye all orders utaiona
Huyu fantacy aiseee sina hamu nae kabisa. Mimi mwenyewe nasubiri pia pesa irudishwe.DMkuu wameandika DISPUTE FINISHED, inamaana dispute ikiisha nifanye nini ili nipate hela yangu View attachment 1241880
Ushauri tafadhali
Hii simu inaeweza tumika hapa Tz
Sijaiona kwenye list
Huyu fantacy aiseee sina hamu nae kabisa. Mimi mwenyewe nasubiri pia pesa irudishwe.
Ngoja niwasubiri
Hiyo simu inafanya kazi bila shida TZ, ilikuwa ni CN version muuzaji anaifungua na kuweka official global ROM hivyo itafanya kazi kama global version. Ila kumbuka inakuja ikiwa haipo sealed, ina maana box lilifunguliwa wakafanya installation ya global ROM.
DMkuu wameandika DISPUTE FINISHED, inamaana dispute ikiisha nifanye nini ili nipate hela yangu View attachment 1241880
Yaah hii ni mara ya pili na cancel order kwa huyu fantacy.Kumbe nawe una kesi Fantacy dah [emoji3]
ShukraniHiyo simu inafanya kazi bila shida TZ, ilikuwa ni CN version muuzaji anaifungua na kuweka official global ROM hivyo itafanya kazi kama global version. Ila kumbuka inakuja ikiwa haipo sealed, ina maana box lilifunguliwa wakafanya installation ya global ROM.
Inayo mkuu si imewekwa global Rom, so ita support Google services na OTA updates.Shukrani
Vipi kuhusu play store
Mkuu OTA sio rahisi, mimi Mi 5x wali flash na kuweka Global rom ya Mi A1. Ile simu hadi leo ina Android 7. Wakati Mi A1 zenye global version kwasasa zina Android 9.Inayo mkuu si imewekwa global Rom, so ita support Google services na OTA updates.
Mkuu OTA sio rahisi, mimi Mi 5x wali flash na kuweka Global rom ya Mi A1. Ile simu hadi leo ina Android 7. Wakati Mi A1 zenye global version kwasasa zina Android 9.
Hela itarudi kwenye kadi yako ndani ya siku 3-20 ila mara nyingi ndani ya siku tatu unapata pesa yako.
Mi France kanikera sana, niliagiza Mi9t kwake tarehe 18 mwezi uliyopita, katuma mzigo leo hii tena ni baada ya message kibao sana.
Ngojea nicheki kama katuma kweli au wameweka tracking number kama kuninyamazisha, maana nimewasumbua kweli.
Ulitakiwa uweke kiwango cha kulipwa.Tayari Hela imerudishwa mkuu ila pale kwenye add glass film pesa iliongezeka Elfu 14 TZS lakini refund imerudishwa 4660 TZS
Ulitakiwa uweke kiwango cha kulipwa.
Mi nilimbamiza hela ya glass+ shipping fee ukiona seller/AE wanakupa offer kandamizi unaikataa
Wadau vipi xiaomi mi store anaship simu kwa wakati? Njmeona anabei rafiki kiasi
Naomba uzoefu wenu