pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Hapo bei ni 392KWakuu habari huyu #fantacy huyu nahitaji ushauri mzuri wa mwisho kabla sijamuwekea pesa yangu hapo kesho Online Shop In stock Global ROM Xiaomi Redmi Note 8 4GB 64G 48MP Quad Camera Smartphone Snapdragon 665 Octa Core 6.3" FHD Screen 4000mAh | Aliexpress Mobile - 11.11_Double 11_Singles' Day
Pia naomba link ya seller mwingine mwenye uwepesi wa kutuma bidhaa.
Mr. Mobile
Sangawe Jr
Na wa dau wote wa Xiaomi
Nimemuacha kama alivyo mkuu.Hapo bei ni 392K
Ila ni 3GB+32GB Global version
Mkuu alibaba unaagizaje na ukawa safe maana sioni kama AliExpress options za kuwatumia alibaba kwa voda Mastercard
Ushauri mkuu nataka nichukue mi 9t sema seller wa AliExpress wananipa wenge
Na carrier ipi nzuri kuship ndani ya wiki 3 kama AliExpress Standard Shipping
Samahani Unaweza nichagulia seller mzuri huko alibaba kama hautijali
Zipo njia tofauti za kufanya malipo, hata MasterCard inakubali. Kwa njia za usafirishaji ni ww mtavyokubaliana na muuzaji, wengi wanapendelea kutumia njia za haraka kama Aramex, DHL, Fedex, nk. Ila wapo wachache wanaokubali kutuma kwa njia ya posta ila mara nyingi wanataka $10-25. Mcheki huyu supplier ndio muuzaji mkubwa wa simu za Xiaomi na anazo model karibia zote ila wanaringa sana kama unahitaji simu moja tu na unataka isafirishwe kwa posta-> Jiyishihou Technology Co., Limited - Xiaomi Smart Home, Smart Mobile Phone
Ukimalizana makubaliano na seller, kuna mkataba ataandaa (trade assurance) huu mkataba unagharimu 2.95% ya pesa yote utakayotakiwa kulipa (transaction fees) na unasimamiwa na Alibaba kuhakikisha unapata bidhaa kama vile mlivyokubaliana na kwa wakati maalum.Asante mkuu je unamalizana na seller mwenyewe alibaba hawahusiki na hela unamtumia moja kwa moja seller
Au unatuma kwa alibaba kama vile AliExpress
Bidhaa nyingi huko hawaweki real price bali zinakuwa ni refence price tu, kwa bei halisi ya bidhaa inabidi ufanye mawasiliano na muuzaji.Mr Mobile em njoo unieleweshe hizi bei za huko AlibabaView attachment 1246597
Ukimalizana makubaliano na seller, kuna mkataba ataandaa (trade assurance) huu mkataba unagharimu 2.95% ya pesa yote utakayotakiwa kulipa na unasimamiwa na Alibaba kuhakikisha unapata bidhaa kama vile mlivyokubaliana na kwa wakati maalum.
KaribuAsante ndugu
Jana kulikua na bugs walinitumia emailNimeingia aliexpress nimekuta kila empty
My order empty
Messeges empty
Cart
Shipped
Wish list
In dispute
Address
Zote hizo empty wakati niliagiza bidhaa ilikuwa ifike 25 - 30 october
Na kulikuwa na dispute seller mmoja hakunitumia mzigo
Naanza kukosa imani na hii mitandao
Hiyo nishakutana nayo kama mara mbili. Niliwapigia voda wakalishughulikia ila ilichukua siku zaidi ya 4 mpaka pesa yangu kurudishiwa. Ukiwapigia wanakwambia wanapeleka tatizo lako sehemu husika hapo utabidi usubirie mpaka pesa wairudishe.TAREHE 27/10/2019 Siku ya jana nimeweka pesa Toka M-PESA kwenda kwenye MASTERCARD yangu
cha ajabu pesa imetoka kwenye M-PESA ila kwenye Mastercard Haijaingia, na wala Taarifa fupi ya MASTERCARD haisomi matumizi ya hii hela niliyoweka jana
Ila taarifa fupi ya M-PESA inasoma pesa Imetoka kwenda kwenye MASTERCARD Yangu
Kuna mtu amewahi tatizika na hili, na ulipata vipi hela yako
maana voda nimewapigia nao wanashangaa tu, hadi sasa sijasaidiwa, pesa yangu haipo kwenye MASTERCARD wala Kwenye M-Pesa
vodacom-tanzania
TAREHE 27/10/2019 Siku ya jana nimeweka pesa Toka M-PESA kwenda kwenye MASTERCARD yangu
cha ajabu pesa imetoka kwenye M-PESA ila kwenye Mastercard Haijaingia, na wala Taarifa fupi ya MASTERCARD haisomi matumizi ya hii hela niliyoweka jana
Ila taarifa fupi ya M-PESA inasoma pesa Imetoka kwenda kwenye MASTERCARD Yangu
Kuna mtu amewahi tatizika na hili, na ulipata vipi hela yako
maana voda nimewapigia nao wanashangaa tu, hadi sasa sijasaidiwa, pesa yangu haipo kwenye MASTERCARD wala Kwenye M-Pesa
[MEMBER=163551]vodacom-tanzania[/MEMBER]
Hiyo nishakutana nayo kama mara mbili. Niliwapigia voda wakalishughulikia ila ilichukua siku zaidi ya 4 mpaka pesa yangu kurudishiwa. Ukiwapigia wanakwambia wanapeleka tatizo lako sehemu husika hapo utabidi usubirie mpaka pesa wairudishe.
Mkuu ile pesa yangu ya mi 9t vodacom wameiweka mateka kama yaoMimi virtual card ya m pesa nimeacha kuitumia kitambo sana, nilipoteza kiasi kama cha elfu kumi na tatu hivi, na baada ya kuwasiliana na kuwasumbua sana Vodacom waliniambia pesa kweli imetolewa kwenye akaunti yangu na mastercard, ila shida ilikuja kuirudisha kwenye akaunti yangu. Hadi leo hii ilibidi niwaachie tu ile hela maana ilikuwa kama nawalazimisha kurudishiwa pesa yangu mwenyewe. Mimi hizo virtual card huwa nazikwepwa sana japo zina rahisisha malipo mtandaoni. Nikushauri tu kama kweli ww ni mtu wa manunuzi mara kwa mara mitandaoni tafuta Physical card za benki. benki ni nyingi zinazotoa kadi za haraka ila siwezi kuzitaja hapa kama hautojali nitafute WhatsApp 0759110633
Kwa heshima ya ushemeji tulionao Mr mobile plz weka tu hapa hapa zitaje tujifunze, mimi pia jana kwa mara ya kwanza nilitumia airtel money mastercard na nilikumbana na changamoto .Mimi virtual card ya m pesa nimeacha kuitumia kitambo sana, nilipoteza kiasi kama cha elfu kumi na tatu hivi, na baada ya kuwasiliana na kuwasumbua sana Vodacom waliniambia pesa kweli imetolewa kwenye akaunti yangu na mastercard, ila shida ilikuja kuirudisha kwenye akaunti yangu. Hadi leo hii ilibidi niwaachie tu ile hela maana ilikuwa kama nawalazimisha kurudishiwa pesa yangu mwenyewe. Mimi hizo virtual card huwa nazikwepwa sana japo zina rahisisha malipo mtandaoni. Nikushauri tu kama kweli ww ni mtu wa manunuzi mara kwa mara mitandaoni tafuta Physical card za benki. benki ni nyingi zinazotoa kadi za haraka ila siwezi kuzitaja hapa kama hautojali nitafute WhatsApp 0759110633
Mkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.TAREHE 27/10/2019 Siku ya jana nimeweka pesa Toka M-PESA kwenda kwenye MASTERCARD yangu
cha ajabu pesa imetoka kwenye M-PESA ila kwenye Mastercard Haijaingia, na wala Taarifa fupi ya MASTERCARD haisomi matumizi ya hii hela niliyoweka jana
Ila taarifa fupi ya M-PESA inasoma pesa Imetoka kwenda kwenye MASTERCARD Yangu
Kuna mtu amewahi tatizika na hili, na ulipata vipi hela yako
maana voda nimewapigia nao wanashangaa tu, hadi sasa sijasaidiwa, pesa yangu haipo kwenye MASTERCARD wala Kwenye M-Pesa
vodacom-tanzania
Sie wengine tuko mikoan huku tunafanyaje aisee natamani niwe na kadi kabisa ujue hasa hio equity bankMkuu achana na hizo za M-PESA,nenda equity Bank unafungue account yako unapatiwa na kadi yako kwa ajili ya kufanya manunuzi mtandaoni.
Gharama haizidi 20k
Kwa heshima ya ushemeji tulionao Mr mobile plz weka tu hapa hapa zitaje tujifunze, mimi pia jana kwa mara ya kwanza nilitumia airtel money mastercard na nilikumbana na changamoto .
Nilipofika hatua ya mwisho kabisa ya kuruhusu makato ya pesa sikupata jibu lolote zaidi ya kuload na mwisho inatokea tu weupe usko na maandishi hata kidogo kwenye apps yangu ya aliexpress . Ila baadae nikajibiwa system bize na baadae makato yalifanikishwa