TAREHE 27/10/2019 Siku ya jana nimeweka pesa Toka M-PESA kwenda kwenye MASTERCARD yangu
cha ajabu pesa imetoka kwenye M-PESA ila kwenye Mastercard Haijaingia, na wala Taarifa fupi ya MASTERCARD haisomi matumizi ya hii hela niliyoweka jana
Ila taarifa fupi ya M-PESA inasoma pesa Imetoka kwenda kwenye MASTERCARD Yangu
Kuna mtu amewahi tatizika na hili, na ulipata vipi hela yako
maana voda nimewapigia nao wanashangaa tu, hadi sasa sijasaidiwa, pesa yangu haipo kwenye MASTERCARD wala Kwenye M-Pesa
vodacom-tanzania