Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu simu yangu nimeazigaiza muda Sana. Mpk leo hakuna updates kuna shida wapi aise.
 
Hiyo Tracking number toka kwa seller huwa haikubali kwenye domestic
Bali Inakubali kwenye International

kama kuna njia nyingine mnafanya ikakubali kwenye domestic tupeane ujuzi
Huwa inakubali. e.g. zangu hizi hapa RB831510751SG
RB830465509SG
 
Wadau nipeni ushauri kati ya simu hizi mbili IPI nichukue REDMI NOTE 8 AU MI A3
Msaada wakuu maana naiwazia hii sale ya 11.11
 
hello guys,nmepata tatizo ,simu yangu inanigomea kuingia first space kwa error ya wrong password baada ya kuibadili,nikiweka password mpya inakataa ,ya zamani pia inakataa,kuna solution yoyote guys?ambayo sitaweza ku lose data zangu?
 
monotheist pitia hapo kwa maswali zaidi watakujuza wataalamu
 
Hivi siku izi posta kuna nini,maana mzigo umefika muda tu leo siku ya kumi ila bado naambiwa bado haujapewa local number.Ni kwangu tu,au wote mnapata hii shida?.
Hapa nazungumzia posta kuu ya DSM.
 
Hivi siku izi posta kuna nini,maana mzigo umefika muda tu leo siku ya kumi ila bado naambiwa bado haujapewa local number.Ni kwangu tu,au wote mnapata hii shida?.
Hapa nazungumzia posta kuu ya DSM.
Itakuwa labda sababu ya ujenzi unaendelea maana mimi pia nina mzigo tokea tarehe 28 upo customs tu
 
Daaah hii kasheshe ss,maana wengine tunawaagizia raia na muda unavyoenda tunaonekana matapeli kabisa.
Itakuwa labda sababu ya ujenzi unaendelea maana mimi pia nina mzigo tokea tarehe 28 upo customs tu
 
Hivi siku izi posta kuna nini,maana mzigo umefika muda tu leo siku ya kumi ila bado naambiwa bado haujapewa local number.Ni kwangu tu,au wote mnapata hii shida?.
Hapa nazungumzia posta kuu ya DSM.
Hiyo item ipo kwenye abnormal delivery mkuu, waambie wakupe maelezo ya kueleweka, maana si kawaida mzigo kuchukua siku nyingi kiasi hicho.
 
Ukiona mzigo unachelewesha anza kuwasiliana na supplier mapema tu, umueleze haujafika local post office.
Wanatutafutia balaa asee, mimi wa kwangu umefika tangu tarehe 21 October lakini hadi leo hii haujafika mkoan posta
 
Samahani wakuu
Nataka niagize earphone 1
Wale wataalamu wa earphones ,ipi ni bora hapa kati ya JBL na hii ROCK ZIRCONE?
Naombeni ushauri kidogo
[emoji818]napenda yenye bass la kufa mtu,na sauti iliyo clear,
[emoji818]kama kutakua na earphone unaijua ipo vizuri zaidi ya hizo nilizo taja niambie ,nataka niagize 11/11
 
Chukua rock zircon siko durable na pia mziki ni mzur kulinganisha na hyo jbl
 
Chukua rock zircon. Bt pia kama unapenda v shape earphone. Angalia Plextone x41m imezifunika zote mbil na ni bei cheap zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…