Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu simu yangu nimeazigaiza muda Sana. Mpk leo hakuna updates kuna shida wapi aise. View attachment 1252754
Huwa inakubali. e.g. zangu hizi hapa RB831510751SGHiyo Tracking number toka kwa seller huwa haikubali kwenye domestic
Bali Inakubali kwenye International
kama kuna njia nyingine mnafanya ikakubali kwenye domestic tupeane ujuzi
Note 8Wadau nipeni ushauri kati ya simu hizi mbili IPI nichukue REDMI NOTE 8 AU MI A3
Msaada wakuu maana naiwazia hii sale ya 11.11
Simu zenye sticker ya Global Rom ni simu ambazo zilikuwa Chinese Version waka zi flash na kuziwekea global Rom ndio maana hata bei zake zipo chini kidogo. ie ikija waweza kuta imeshafunguliwa kwenye boksi)
Global version ni simu ambazo zina kuwa na rom ambayo ni global kutoka kiwandani moja kwa moja. Zinakuwa na bei ya juu kidogo ( ukiagiza inakuja ikiwa haijafunguliwa kwenye boksi lake)
Poa BANGO JEUPEmonotheist pitia hapo kwa maswali zaidi watakujuza wataalamu
Itakuwa labda sababu ya ujenzi unaendelea maana mimi pia nina mzigo tokea tarehe 28 upo customs tuHivi siku izi posta kuna nini,maana mzigo umefika muda tu leo siku ya kumi ila bado naambiwa bado haujapewa local number.Ni kwangu tu,au wote mnapata hii shida?.
Hapa nazungumzia posta kuu ya DSM.
Itakuwa labda sababu ya ujenzi unaendelea maana mimi pia nina mzigo tokea tarehe 28 upo customs tu
Hiyo item ipo kwenye abnormal delivery mkuu, waambie wakupe maelezo ya kueleweka, maana si kawaida mzigo kuchukua siku nyingi kiasi hicho.Hivi siku izi posta kuna nini,maana mzigo umefika muda tu leo siku ya kumi ila bado naambiwa bado haujapewa local number.Ni kwangu tu,au wote mnapata hii shida?.
Hapa nazungumzia posta kuu ya DSM.
Daaah hii kasheshe ss,maana wengine tunawaagizia raia na muda unavyoenda tunaonekana matapeli kabisa.
Wanatutafutia balaa asee, mimi wa kwangu umefika tangu tarehe 21 October lakini hadi leo hii haujafika mkoan posta
Mie nateswa na China registered mail. Mzigo left country of orgini tangu tarehe 27/10/19 leo ni siku ya 09, mzigo haujatua TanzaniaUkiona mzigo unachelewesha anza kuwasiliana na supplier mapema tu, umueleze haujafika local post office.
Samahani wakuu
Nataka niagize earphone 1
Wale wataalamu wa earphones ,ipi ni bora hapa kati ya JBL na hii ROCK ZIRCONE?
Naombeni ushauri kidogo
[emoji818]napenda yenye bass la kufa mtu,na sauti iliyo clear,
[emoji818]kama kutakua na earphone unaijua ipo vizuri zaidi ya hizo nilizo taja niambie ,nataka niagize 11/11View attachment 1254556View attachment 1254557
Mbona hizo ni siku chache sanaMie nateswa na China registered mail. Mzigo left country of orgini tangu tarehe 27/10/19 leo ni siku ya 09, mzigo haujatua Tanzania