Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Chukua rock zircon. Bt pia kama unapenda v shape earphone. Angalia Plextone x41m imezifunika zote mbil na ni bei cheap zaid
Ahaa ahsante mkuu
Hivi rock zircone na rockspace ni tofauti au ni item 2 tofauti ?
Naona bei zipo sawa
 
Tafuta earphone zinaitwa "1More Piston Fit"
 
Kwa China Post kuchelewa kawaida, ila kama ni SingPost ikichukua zaidi ya wiki tatu anza kuweka alama ya kiulizo.
Mie nateswa na China registered mail. Mzigo left country of orgini tangu tarehe 27/10/19 leo ni siku ya 09, mzigo haujatua Tanzania
 
Ukiona mzigo unachelewesha anza kuwasiliana na supplier mapema tu, umueleze haujafika local post office.
Ajabu nimetoka leo nimewap truck no. Wakachek wakaona ushapewa ila bado haujaruhusiwa kutoka.na umepewa ile ya RDP yaana hapo nakutana na bwana tra na mzigo wenyee ni mdogo tu,ajabu mingine ya ukubwa zaidi ya huwa nimepewa no. Za kawaida yaan kutolipia kodi.Hapo nimewaachia kwanza wakae nao maana kwa ss naona wametuamulia tuache kuagiza vitu nje.
 
Jamani hii track number ya SF Siwezi kukutana na bwanà Kodi. Ni mara ya kwanza naipata.
 
Yaani hawa balaa now wako slow Sana. Nina mzigo WA watu basi daah full simu hapa.Mpaka naiogopa[emoji23]
Mie nateswa na China registered mail. Mzigo left country of orgini tangu tarehe 27/10/19 leo ni siku ya 09, mzigo haujatua Tanzania
 
Mbaka usibiri tarehe 11 kwa punguzo la 1500 si bora uagize tu saizi
 
Wadau nimeagiza simu ikawa prossesed tar8 na shipped tar kumi mwez wa10, mpaka sasa sioni update mzigo umefika wap wadau,je niopen dispute au nitulie kwanza?
 
Wadau nimeagiza simu ikawa prossesed tar8 na shipped tar kumi mwez wa10, mpaka sasa sioni update mzigo umefika wap wadau,je niopen dispute au nitulie kwanza?
Wasiliana na seller kwanza

Sometime sio lazima ufungue dispute wakati mzigo umeshatumwa
Na kumbuka tracking number nyingine zinaganda tu hazitoi updates,ila utashtuka tu Posta Master anakuita ukachukue mzigo wako (imenikuta hii mara 2).

Nb.
Ukitaka kujifunza nini maana ya uvumilivu ,agiza bidhaa mtandaoni
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Natafuta kioo cha Xiaomi Redmi note 7 Kwa yeyote anajua kinapopatikana na bei yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…