Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 314
TimetableUmepata vipi mkuu maana mimi RN7 yangu hadi leo kimya
Kwa upande wako angalia unapendelea series gani za Mi product,wala usifadhaike moyoni mwako[emoji23][emoji23]Xiaomi kwa sasa anafeli aanze kuwa anatulia kwa mda ndio anatoa kitu
Pesa ya nyumba huku mikoani ooohooooHii inauzwa milion 23
Kaka ndio dunia hiyo usijali vyote tutaviacha hapa hapa dunianiKibaya cha simu unainunua unakufa unaiacha duniani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Jamaa yangu kaacha iPhone 6+ bado mpya na kalala usingizi wa mauti imeniuma sana [emoji24][emoji24]
Kibaya cha simu unainunua unakufa unaiacha duniani [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Jamaa yangu kaacha iPhone 6+ bado mpya na kalala usingizi wa mauti imeniuma sana [emoji24][emoji24]
Hii tunaita kipendacho roho. Kila mtu ana starehe yake ulimwenguni, sisi starehe yetu ni tech.Sasa unazani ataenda na nini huko
Uhai ni starehe kupata kile nafsi inaridhika,
wakati wengine wakipigana kubadili magari mimi pesa zangu Namalizia kwenye Model za simu
Yaani ndo najisikia fahari kweli kweli nikimiliki simu yenye teknolojia latest
Nashinda utube kulinganisha simu, nikiridhika najivuta mwisho wa siku nanunua
Wenye magari makali wote naona kabisa nimewakalisha [emoji3]
Hii tunaita kipendacho roho. Kila mtu ana starehe yake ulimwenguni, sisi starehe yetu ni tech.
Ingia kwenye settings shuka kwenye Additional settings kipengele cha Region weka India.Hata Mimi Mkuu naona kimyaaa..
Kuna simu hapa nimepata updates jana, na region niliweka TZIngia kwenye settings shuka kwenye Additional settings kipengele cha Region weka India.
Then rudi kwenye About phone>System update. Hapo kwenye system update uwe unajaribu ku-search new updates mara kwa mara huku region yako ikiwa ni India.
Unayafanya haya ukiwa online.
Njia hiyo ndo imenisaidia mimi kupata update kwenye RN7P View attachment 1256145
Mtu kaweka order hata siku 5 hazijafika anaulzia kuweka disputeHakika ulichosema ni sahihi kabisa. Muda mwingi watu wanarudia pia aina ya maswali au hoja ambazo zimekwisha jadiliwa kwenye post zilizopita. Tujifunze kupitia nyuzi za awali.
Mi Note 10 Pro With Snapdragon 855+ and 90Hz refresh rate [emoji854]
Ingia kwenye settings shuka kwenye Additional settings kipengele cha Region weka India.
Then rudi kwenye About phone>System update. Hapo kwenye system update uwe unajaribu ku-search new updates mara kwa mara huku region yako ikiwa ni India.
Unayafanya haya ukiwa online.
Njia hiyo ndo imenisaidia mimi kupata update kwenye RN7P View attachment 1256145
Ndio mkuuHii ni edge au macho yangu hayaoni vizuri
Ajabu nimetoka leo nimewap truck no. Wakachek wakaona ushapewa ila bado haujaruhusiwa kutoka.na umepewa ile ya RDP yaana hapo nakutana na bwana tra na mzigo wenyee ni mdogo tu,ajabu mingine ya ukubwa zaidi ya huwa nimepewa no. Za kawaida yaan kutolipia kodi.Hapo nimewaachia kwanza wakae nao maana kwa ss naona wametuamulia tuache kuagiza vitu nje.
Mi Note 10 Pro With Snapdragon 855+ and 90Hz refresh rate [emoji854]
Ni Nimeweka Tanzania mkuu ila nafsi inaniambia niweke India maana Tz imesahaulika
Hahaaaa mie nimeipat na country ikiwa ni Tanzania , afu mkuu bangojeupe, huu uzi umekua kama wako eeeh unatamba tu, na hujalipia ata kodi
Niliona mbali sana hap nimekutana na mwamba mmoja kutoka China Mr nan Shan kaiona tu xaiomi yangu kakubali kaniuliza uliwahi fika china au umeipata wapi? HahaaaaasssMkuu unawivu hatari maana wadau kuushadadia huu Uzi ndo mapenzi yenyewe haya unataka Uzi upoe? [emoji2]