Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Vipi wanakata asilimia ngapi?
Yep tena naona ipo vizuri kuliko M-PESA coz inakuwa na soft copy ya card inaonyesha taarifa zote za card inakuwa kama physical card, pia inadumu kwa miezi 12, sijaijaribu tu kufanyia malipo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] hapa nikutumia tu Singapore post. Hawa China registered mail wehu tu kama wehu wengine. Yani mpka leo bado bila.

Na nna mzigo wa dada wa posta nilimpa ofa [emoji85] akiona yangu mizigo yangu inafika yake niliomuahidi bado atakuja apeleke cargo TR_A bure[emoji3]
 
Hahah
 
Wakuu habari, nimeamua rasmi ku upgrade kwenda simu ingine.
Hivyo basi naiuza xiaomi redmi 7 yangu yenye 32gb , rangi nyeusi kwa 280,000Tshs.
Kwa anayehitaji anicheki kupitia 0717135641 , simu ni used kwa miezi minne tu. hivyo unapata simu, nilikin cover, na chaja yake
 
Unajiungaje Mkuu,nataka niijaribu
 
Hv hiz battery za simu ambazo hazitoki kwenye simu, ikishaharibika inakuwaje? Hasa Kwa hiz kampuni ambazo hazipo madukani bongo
 
Wadau niliagiza mzigo alliexpress na nikatumiwa sms posta wiki ilopita nikaenda kuuchukua. Nashangaa leo tena nimetumiwa sms nikachukue mzigo Toka nje wakati sijaagiza tena mzigo
 
Ana aminika anatuma Kwa wakati. Ila daah wajanja wamenipiga mzigo wangu. Ilikuwa Redmi note 7 6gb, 64gb. Posta wamesema package imefika ikiwa empty. Nilitumia AliExpress standard shipping. Daah imeuma kinyama aise.

Uzoefu wangu miezi Kama hii hasa mwisho wa mwaka mizigo Kama simu inaibiwa Sana tena Sana. Mwaka juzi pia nilipoteza simu 2 hivyo hivyo.

Je kuna mbinu yoyote ya kutumia ilimzigo usipotee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…