kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
Agiza mkuu wala usiwe na hofuDah msitupe wasiwasi wazee naagiza simu kesho kutwa ikianza 11.11 offer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agiza mkuu wala usiwe na hofuDah msitupe wasiwasi wazee naagiza simu kesho kutwa ikianza 11.11 offer
Yep tena naona ipo vizuri kuliko M-PESA coz inakuwa na soft copy ya card inaonyesha taarifa zote za card inakuwa kama physical card, pia inadumu kwa miezi 12, sijaijaribu tu kufanyia malipo.
Sijajua.Vipi wanakata asilimia ngapi?
Hii kwangu pia, niko na mizigo mitano tofauti na yote nilinunua siku moja lakini chaajabu nilioagiza kwa Aliexpress standard shipping umefika ila hiyo mingine haijafika kabisa. Tena mmoja umeandika Arrived at destination country tangu tarehe 1 mwezi 11, na sasa ni tar10, almost zaidi ya siku 10
Hahah[emoji3][emoji3][emoji3] hapa nikutumia tu Singapore post. Hawa China registered mail wehu tu kama wehu wengine. Yani mpka leo bado bila.
Na nna mzigo wa dada wa posta nilimpa ofa [emoji85] akiona yangu mizigo yangu inafika yake niliomuahidi bado atakuja apeleke cargo TR_A bure[emoji3]
Hao VoDa wanakata kiasi au asilimia ngapi?!Bado nawakubali Mpesa pamoja na kisanga kilichomkuta BANGO JEUPE .
View attachment 1257973
View attachment 1257975
Virtual card ime expire ila mpunga umerudi fresh tu.
View attachment 1257982
Hawa Equity na BanCAbc wacha wabaki kabatini Isee.
View attachment 1257993
Voda wanakata asilimia nne.Hao VoDa wanakata kiasi au asilimia ngapi?!
Maana nasikia equity wanakata 8% ( me natumia equity)
Naona Ni nafuu kidogo ukilinganisha na equityVoda wanakata asilimia nne.
Naona Ni nafuu kidogo ukilinganisha na equity
Unajiungaje Mkuu,nataka niijaribuKabisa
Unajiungaje Mkuu,nataka niijaribu
Unajiungaje Mkuu,nataka niijaribu
Wadau niliagiza mzigo alliexpress na nikatumiwa sms posta wiki ilopita nikaenda kuuchukua. Nashangaa leo tena nimetumiwa sms nikachukue mzigo Toka nje wakati sijaagiza tena mzigo
Mkuu naomba ufafanuzi hapa.Sijajua.
Mkuu naomba ufafanuzi hapa.View attachment 1260411
Na kipi natakiwa kufanya ili isitokee longolongo yoyote kweny iyo dispute