Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwani mpya sh ngapi?
180 vp
 
Aiseee pole sana mkuu
P

Pole sana mkuu
Mimi nimeorder tangu mwez wa10 tar 10 hadi leo sioni update yoyote ile
 
Unanipa wasiwasi sana, jana nime place order ya lg v30. Dah nawaza nimwambie wenda seller asiandike juu kuwa ni simu ili isitamaniwe, aandike hata Toy la Mp4 au Phone Spare parts
 
Mkuu vipi camera yake hii
Je games like pubg zinacheza fresh
 
Mkuu vipi camera yake hii
Je games like pubg zinacheza fresh
Sina uzoefu na games na hua siweki ila labda kina mr mobile watusaidie kuhusu hilo kuhusukamera iko vizuri sio mbaya sana wala sio nzuri kihivyo.
 
Relax nimeagiza mizigo ya namna hiyo mingi tu na yote nimeipata tena kuna mmoja muda ulifika nikafungua dispute seller akaniibox niondoe dispute atatuma tena matokeo yake nimepata mzigo mara 2 ule wa mwanzo nao ulifika
Ngoja niwe na subira tu mkuu
 
Mara Mia Ufanye hivyo. Wizi usharudi aise...
Unanipa wasiwasi sana, jana nime place order ya lg v30. Dah nawaza nimwambie wenda seller asiandike juu kuwa ni simu ili isitamaniwe, aandike hata Toy la Mp4 au Phone Spare parts
 
Hapo inadepend na seller. Pia kutokana na mzigo na shipment unayotumia.
Relax nimeagiza mizigo ya namna hiyo mingi tu na yote nimeipata tena kuna mmoja muda ulifika nikafungua dispute seller akaniibox niondoe dispute atatuma tena matokeo yake nimepata mzigo mara 2 ule wa mwanzo nao ulifika
Huo ni mzigo Wangu lakini nimewacheki posta wamesema package missed.
 
Mkuu kwa sasa purchase zisizozidi laki 1 nitanunua kupitia Voda Mastercard
Zaidi ya hapo bora nitumie bank maana wamenifanyia vibaya sana hiki kipindi
Mimi Voda nilifanya muamala wa kiasi cha sh 472k kwa Mi France, baada ya miezi miwili na nusu nikaopen dispute na ndani ya siku tatu tu Mpesa ikasoma chap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…