Karatasi ilikua nyeupe na maandishi meusiUlitia saini ktk karatasi ya namna gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karatasi ilikua nyeupe na maandishi meusiUlitia saini ktk karatasi ya namna gani?
Posta za mikoani ndani ndani huku wanafanya hiyo huduma,Weka advice tuu, waambie posta wakupe fomu inaonesha mzigo wako umepotea.
Posta za mikoani ndani ndani huku wanafanya hiyo huduma,
Au ni kwa dar tu
Unaagiza ChinaHv hiz battery za simu ambazo hazitoki kwenye simu, ikishaharibika inakuwaje? Hasa Kwa hiz kampuni ambazo hazipo madukani bongo
Kwani mpya sh ngapi?Wakuu habari, nimeamua rasmi ku upgrade kwenda simu ingine.
Hivyo basi naiuza xiaomi redmi 7 yangu yenye 32gb , rangi nyeusi kwa 280,000Tshs.
Kwa anayehitaji anicheki kupitia 0717135641 , simu ni used kwa miezi minne tu. hivyo unapata simu, nilikin cover, na chaja yake
Aiseee pole sana mkuuAna aminika anatuma Kwa wakati. Ila daah wajanja wamenipiga mzigo wangu. Ilikuwa Redmi note 7 6gb, 64gb. Posta wamesema package imefika ikiwa empty. Nilitumia AliExpress standard shipping. Daah imeuma kinyama aise.
Uzoefu wangu miezi Kama hii hasa mwisho wa mwaka mizigo Kama simu inaibiwa Sana tena Sana. Mwaka juzi pia nilipoteza simu 2 hivyo hivyo.
Je kuna mbinu yoyote ya kutumia ilimzigo usipotee.
Mimi ilikuwa tarehe 11-10. Watakuwa wameipiga hiyo.
Em nishaurini hapa wadau hamna updates kuna usalama kweli?View attachment 1260894
Iko around hapo au inazidi kidogo ila si unajua insu ya kusoteaKwani mpya sh ngapi?
180 vp
Karatasi ilikua nyeupe na maandishi meusi
Ana aminika anatuma Kwa wakati. Ila daah wajanja wamenipiga mzigo wangu. Ilikuwa Redmi note 7 6gb, 64gb. Posta wamesema package imefika ikiwa empty. Nilitumia AliExpress standard shipping. Daah imeuma kinyama aise.
Uzoefu wangu miezi Kama hii hasa mwisho wa mwaka mizigo Kama simu inaibiwa Sana tena Sana. Mwaka juzi pia nilipoteza simu 2 hivyo hivyo.
Je kuna mbinu yoyote ya kutumia ilimzigo usipotee.
Mkuu vipi camera yake hiiWakuu habari, nimeamua rasmi ku upgrade kwenda simu ingine.
Hivyo basi naiuza xiaomi redmi 7 yangu yenye 32gb , rangi nyeusi kwa 280,000Tshs.
Kwa anayehitaji anicheki kupitia 0717135641 , simu ni used kwa miezi minne tu. hivyo unapata simu, nilikin cover, na chaja yake
Sina uzoefu na games na hua siweki ila labda kina mr mobile watusaidie kuhusu hilo kuhusukamera iko vizuri sio mbaya sana wala sio nzuri kihivyo.Mkuu vipi camera yake hii
Je games like pubg zinacheza fresh
Ngoja niwe na subira tu mkuuRelax nimeagiza mizigo ya namna hiyo mingi tu na yote nimeipata tena kuna mmoja muda ulifika nikafungua dispute seller akaniibox niondoe dispute atatuma tena matokeo yake nimepata mzigo mara 2 ule wa mwanzo nao ulifika
Unanipa wasiwasi sana, jana nime place order ya lg v30. Dah nawaza nimwambie wenda seller asiandike juu kuwa ni simu ili isitamaniwe, aandike hata Toy la Mp4 au Phone Spare parts
Huo ni mzigo Wangu lakini nimewacheki posta wamesema package missed.Relax nimeagiza mizigo ya namna hiyo mingi tu na yote nimeipata tena kuna mmoja muda ulifika nikafungua dispute seller akaniibox niondoe dispute atatuma tena matokeo yake nimepata mzigo mara 2 ule wa mwanzo nao ulifika
Mimi Voda nilifanya muamala wa kiasi cha sh 472k kwa Mi France, baada ya miezi miwili na nusu nikaopen dispute na ndani ya siku tatu tu Mpesa ikasoma chapMkuu kwa sasa purchase zisizozidi laki 1 nitanunua kupitia Voda Mastercard
Zaidi ya hapo bora nitumie bank maana wamenifanyia vibaya sana hiki kipindi