Nimelipa jana 2350 per parcel Kijitonyama Post office
Kwa bei Hiyo na aina ya mzigo washajua hakuna kituLast week nimeenda pale posta sijalipa kitu, nimechukua parcel Yangu free,, sijajua wanatumia vigezo gani.. Ila seller aliniandikia thaman ya Mzigo Dollar 5 nadhani ndo sababu,, wakati Mzigo ulikua Na thaman ya dollar 25.
Hizi mambo zinataka uvumilivu mkuu...Updated.. nimepata leo kwenye email mzigo umefika Tanzania. So haujapotea aise. Nilipanic Sana.
Uliagiza kwa Mr. Mobile?
Tuma picha nasisi tuone kama inavutia
Ndiyo mkuu.
Welcome to the world of Redmi [emoji16][emoji16][emoji16]Credit Credit to Mr. Mobile
Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.
Leo hii nimeiweka mkononi.
Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.
Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.
Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.
Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma
Leo hii nimeupokea Manyoni.
Badae kidogo nitatuma picha.
Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.
Thanks a lot Mr. Mobile
Mungu akubariki.
Welcome to the world of Redmi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mr. Mobile is the best...... Mungu amzidishie kwa kweli....
Ni kweli, juzi tu nimepokea mzigo(saa) Posta nimetozwa 2350 nikamuuliza muhudumu kama hiyo tozo ni flat rate akanijibu ndiyo, hapa najipanga kuvuta dude la LG smartphone nipime imani yao wasije kulitamani likapotelea lisikojulikana. Lkn so far nimeshaagiza parcel za zaidi ya 50k zote zinanifikia salala tu.Nimelipa jana 2350 per parcel Kijitonyama Post office
Ndiooo,,pesa inarudi kwenye mpesa master card then unaihamisha kuipeleka account yako ya mpesa kawaida tu halafu unaeza kuitumia utakavyo ikiwemo na kuitoa kabisaMsaada kwa wale watumiaji wa mpesa master card
Je nikifanya refund naweza itoa pesa yangu kwa kutumia mpesa?
Helo tatiana habari yako
Credit Credit to Mr. Mobile
Nilikuja hapa kwenye jukwaa kutafuta Redmi note 7.
Leo hii nimeiweka mkononi.
Tarehe 28 October 2019 Malipo yalifanyika.
Tarehe 31 October 2019 Mzigo ukatumwa.
Tarehe 11 November 2019 Mzigo ukafika Dar es salaam.
Tarehe 12 November 2019 Mzigo ukafika Dodoma
Leo hii nimeupokea Manyoni.
Badae kidogo nitatuma picha.
Naomba kukaribishwa rasmi kwenye ulimwengu huu wa XIAOMI.
Thanks a lot Mr. Mobile
Mungu akubariki.
Welcome to the world of Redmi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mr. Mobile is the best...... Mungu amzidishie kwa kweli....
Ameen mkuu.
Kama mzigo ulishatumwa na seller basi ni baada ya siku 60. Hapo kuna kuwa na siku 15 za purchase protection. Zikipita hizo hujafanya chochote seller anapewa pesa yake mnakuwa mmemalizana.Hivi inatakiwa ufungue Dispute kabla ya muda wa delivery au baada ya muda wa delivery kuisha???
Pole ngoshaMr mobile ngosha hapa akaunti yangu nimekula ban kuna mwamba kanizingua napatikana huku nw endelea kuwasaidia nduguzo wapate huduma zinazotakiwa na mwalimu crt pia
Inategemea ni mkoa gani, kuna baadhi ya mikoa ndani siku 2 unapata mzigo na kuna baadhi ya mikoa inafika hadi siku 5Wakuu mzigo wangu umefika dar j5 je huku mkoani huwa unachukua muda gani kufika?
Inategemea ni mkoa gani, kuna baadhi ya mikoa ndani siku 2 unapata mzigo na kuna baadhi ya mikoa inafika hadi siku 5