Unazungumzua power saving mode. Mimi si zungumzii hiyo. Angalia moja ya features zilizoongezwa kwenye MIUI 11 ni betri saver mkuu angalia hiyo video utaelewa ninacho zungumzia. Labda miui 10 unayotumia wewe na ninayo tumia mimi zinatofauti.Hii feature mbona ipo kitambo tu.. Mi natumia daily na Sina hata hiyo miui 11 bado.
Ila miui 11 global haina hiyo feature ya ultra power saver mode ipo ile ya zamani tu. Kwenye china ROM ndio ina hiyo option.Unazungumzua power saving mode. Mimi si zungumzii hiyo. Angalia moja ya features zilizoongezwa kwenye MIUI 11 ni betri saver mkuu angalia hiyo video utaelewa ninacho zungumzia. Labda miui 10 unayotumia wewe na ninayo tumia mimi zinatofauti.
Ila miui 11 global haina hiyo feature ya ultra power saver mode ipo ile ya zamani tu. Kwenye china ROM ndio ina hiyo option.
Okay labda useme kama global haina.Ila miui 11 global haina hiyo feature ya ultra power saver mode ipo ile ya zamani tu. Kwenye china ROM ndio ina hiyo option.
View attachment 1265739
Niliona mbali sana hap nimekutana na mwamba mmoja kutoka China Mr nan Shan kaiona tu xaiomi yangu kakubali kaniuliza uliwahi fika china au umeipata wapi? Hahaaaaasss
Kamera tano (Penta)
Niko na redmi 7 kwa sasa
Naenda nyumbani ,siku nikirudi mshahara utakaotoka ntacheza lata karata ntanunua Xiaomi Note 7 nimetokea kuipenda.
Aisee niko hapa nasikia hadi njaa nimeagiza hiyo hiyo rn7 na tarehe kama yako ila nikiangalia tracking haina update yoyote,,,,hata sijui inakuaje
Huku mtaani kwangu hii simu yangu Redmi7 wanaiona Kama iPhone ya Android mkuu, waishikashika na kuigeuzageuza waitazamapo Yani ni kanakwamba hawajawahi kuiona....kumbe kweli walikuwa hawajawahi Iona[emoji38][emoji38]
Umetoa takrima eee[emoji3][emoji3][emoji3] hapa nikutumia tu Singapore post. Hawa China registered mail wehu tu kama wehu wengine. Yani mpka leo bado bila.
Na nna mzigo wa dada wa posta nilimpa ofa [emoji85] akiona yangu mizigo yangu inafika yake niliomuahidi bado atakuja apeleke cargo TR_A bure[emoji3]
Wakuu huyu seller 'Xiaomi Mi store' anaaminika au na yeye haeleweki kama Mi France
Mi kwangu alizinguaAnaeleweka mkuu Tena Yuko fasta mno
Nnayo inateleza Kama mlenda au Yale makondakonda[emoji3061]
Hivi mkuu screen protector yake ipo kweli?
Maana sijawahi weka protector
Vumilia mkuu..kunywa maji mengi ili roho ieleee
Mi kwangu alizingua
Agiza au niambie uko wapi nikupe bure ninayo moja
Wadau nimepata hii update delivery failed,,,
Je inamaana mzigo ndo umepotea,au nifanye nini wadau maana sielewi kabisa.
SangaweJr
Shaffin Simbamwene
View attachment 1265852