Tukibadilishana na Xiaomi mi max utaniongeza bei ganiKwa anayehitaji na yuko serious nauza xiaomi redmi note4 rose gold 16gb chinese version.Haina tatizo lolote sababuya kuiuza mimi si mtu ambaye nakaa sehemu ambazo umeme ni wa uhakika kivile nashinda site mda mrefu zaidina chinese version ukaaji wake wa chaji ni wa wastani kama tekno tofaut na global version so mwenye uhitaji anicheki hapa 0713131823 bei n laki tatu
ingia pm pia weka specification za hio mi max yako mkuuTukibadilishana na Xiaomi mi max utaniongeza bei gani
Acha kukaririshwa vitu mimi natumia xiaom redmi 4x inapiga picha angavu balaa wenye Samsung wamekuja wanataka wanipe na pesa Juu nakaataa sio kuwa Samsung ni Mbaya Hapana wanatokea kuipenda sana simu yangu pia hawazijuiMkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.
Sasa huwa napenda kusoma user opinions kule gsmarena.com na watu pia wanazisifia except kuna wengi wanaponda camera kwamba hazifanyi vizuri kwenye low light.
Naomba ushuhuda wako mkuu, je ni kweli? Inawezekana camera isiwe kali sana kama hizi flagship za Samsung, lkn napenda tu kujua quality yake unaweza kulinganisha na simu ipi labda.
Of course nimekua interested na model kama yako ingawa sijajua kama price yake itakuaje. Thanks.
pia kupata samsung yenye spec za xiaomi redmi 4x kama yako lazima mtu ataingia mfukoni sanaaaa yan lazma achimbe na jembe hyo pesa yake balaa..Acha kukaririshwa vitu mimi natumia xiaom redmi 4x inapiga picha angavu balaa wenye Samsung wamekuja wanataka wanipe na pesa Juu nakaataa sio kuwa Samsung ni Mbaya Hapana wanatokea kuipenda sana simu yangu pia hawazijui
Saana mkuu yangu inawatoa watu Udenda simu tamu sana hizipia kupata samsung yenye spec za xiaomi redmi 4x kama yako lazima mtu ataingia mfukoni sanaaaa yan lazma achimbe na jembe hyo pesa yake balaa..
lakin xiaomi ni best quality at an affordable price
Ingekuwa vyema uweke bei na namba za simu hapa. Watu wajipime hayo pm ni ubabaishaji.Kwa mwenye uhitaji wa mi max imetumika miez 3 na ni global version tuonane pm
Mkuu hivi kuna ugumu gani kumuelewesha mtu bila kutumia maneno kama hayo? Sasa mi nimekaririshwa wapi... Just nimeomba maelezo tu. But thanks, nimekusoma fresh.Acha kukaririshwa vitu mimi natumia xiaom redmi 4x inapiga picha angavu balaa wenye Samsung wamekuja wanataka wanipe na pesa Juu nakaataa sio kuwa Samsung ni Mbaya Hapana wanatokea kuipenda sana simu yangu pia hawazijui
Sipendi muanzishe ugomvi mimi mwenyewe nimenunua Simu hio.nilipoona kua ina vitu vingi ndio nikaanzisha mada hio so nw ninapata ujuzi zaidi kupitia maoni ya wengine we mnyamwezi tengua kauli yako kabla sijakuombei xiaomi yako iibiwe uje ulie lie hapaMkuu hivi kuna ugumu gani kumuelewesha mtu bila kutumia maneno kama hayo? Sasa mi nimekaririshwa wapi... Just nimeomba maelezo tu. But thanks, nimekusoma fresh.
Mkuu sijamaanisha vibaya ila maana yangu ni kuwa asisikilize ya kuambiwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sipendi muanzishe ugomvi mimi mwenyewe nimenunua Simu hio.nilipoona kua ina vitu vingi ndio nikaanzisha mada hio so nw ninapata ujuzi zaidi kupitia maoni ya wengine we mnyamwezi tengua kauli yako kabla sijakuombei xiaomi yako iibiwe uje ulie lie hapa
Hahaaaaa usijali si unajua sie wazee wa kazi tu alafu Ingia inbox mara moja kwanza tujadili jibu la kumpa huyo ndugu yetu mngoni wa songea maana najua ni mtani wetu huyoMkuu sijamaanisha vibaya ila maana yangu ni kuwa asisikilize ya kuambiwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Its ok broo ..kiufup kiutendaj cam yake ipo poa cjawah iwekea maxhaka yyt front & backMkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.
Sasa huwa napenda kusoma user opinions kule gsmarena.com na watu pia wanazisifia except kuna wengi wanaponda camera kwamba hazifanyi vizuri kwenye low light.
Naomba ushuhuda wako mkuu, je ni kweli? Inawezekana camera isiwe kali sana kama hizi flagship za Samsung, lkn napenda tu kujua quality yake unaweza kulinganisha na simu ipi labda.
Of course nimekua interested na model kama yako ingawa sijajua kama price yake itakuaje. Thanks.
Gearbest niliwai kuwatumia, lakini kwa siku za karibuni nanua kupitia aliexpress na banggood.
update ya oreo nimeona leo sehemu
kama mfukoni kunene tafuta Xiaomi mi mix hutojuta hata ukiwa mbele ya mtu mwenye iPhone x au hayo ma galaxy s8, uzuri wa xiaomi ni unique product kwa Tanzania yetu angalia hapa Xiaomi Mi Mix - Full phone specificationsMkuu hivi kuna ugumu gani kumuelewesha mtu bila kutumia maneno kama hayo? Sasa mi nimekaririshwa wapi... Just nimeomba maelezo tu. But thanks, nimekusoma fresh.
wap uko mkuu nichangamkie dilisimu yako imepata
update ya oreo nimeona leo sehemu
Sawa boss.basi nitachukua hio pia Mkuu mwezi wa pili naihitaji
Ata mi mwenyew nasubilia hlo dili la oreo mzeebabawap uko mkuu nichangamkie dili