Mkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.
Sasa huwa napenda kusoma user opinions kule gsmarena.com na watu pia wanazisifia except kuna wengi wanaponda camera kwamba hazifanyi vizuri kwenye low light.
Naomba ushuhuda wako mkuu, je ni kweli? Inawezekana camera isiwe kali sana kama hizi flagship za Samsung, lkn napenda tu kujua quality yake unaweza kulinganisha na simu ipi labda.
Of course nimekua interested na model kama yako ingawa sijajua kama price yake itakuaje. Thanks.