Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwa anayehitaji na yuko serious nauza xiaomi redmi note4 rose gold 16gb chinese version.Haina tatizo lolote sababuya kuiuza mimi si mtu ambaye nakaa sehemu ambazo umeme ni wa uhakika kivile nashinda site mda mrefu zaidina chinese version ukaaji wake wa chaji ni wa wastani kama tekno tofaut na global version so mwenye uhitaji anicheki hapa 0713131823 bei n laki tatu
Tukibadilishana na Xiaomi mi max utaniongeza bei gani
1a40d8573efdd07d26f6b07545192e54.jpg
f2f8a40ce4a89ac567eb382286056f34.jpg
 
Kwa mwenye uhitaji wa mi max imetumika miez 3 na ni global version tuonane pm
a3f0f63743e5d91236dffa4f3555b0f4.jpg
7b8daf6ae689d809060a05d4de31e6e7.jpg
a024c14f22499d2b0f0b09d36d6ec0e0.jpg
 
Mkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.

Sasa huwa napenda kusoma user opinions kule gsmarena.com na watu pia wanazisifia except kuna wengi wanaponda camera kwamba hazifanyi vizuri kwenye low light.

Naomba ushuhuda wako mkuu, je ni kweli? Inawezekana camera isiwe kali sana kama hizi flagship za Samsung, lkn napenda tu kujua quality yake unaweza kulinganisha na simu ipi labda.

Of course nimekua interested na model kama yako ingawa sijajua kama price yake itakuaje. Thanks.
Acha kukaririshwa vitu mimi natumia xiaom redmi 4x inapiga picha angavu balaa wenye Samsung wamekuja wanataka wanipe na pesa Juu nakaataa sio kuwa Samsung ni Mbaya Hapana wanatokea kuipenda sana simu yangu pia hawazijui
 
pia kupata samsung yenye spec za xiaomi redmi 4x kama yako lazima mtu ataingia mfukoni sanaaaa yan lazma achimbe na jembe hyo pesa yake balaa..

lakin xiaomi ni best quality at an affordable price
 
Saana mkuu yangu inawatoa watu Udenda simu tamu sana hizi
 
Acha kukaririshwa vitu mimi natumia xiaom redmi 4x inapiga picha angavu balaa wenye Samsung wamekuja wanataka wanipe na pesa Juu nakaataa sio kuwa Samsung ni Mbaya Hapana wanatokea kuipenda sana simu yangu pia hawazijui
Mkuu hivi kuna ugumu gani kumuelewesha mtu bila kutumia maneno kama hayo? Sasa mi nimekaririshwa wapi... Just nimeomba maelezo tu. But thanks, nimekusoma fresh.
 
Sipendi muanzishe ugomvi mimi mwenyewe nimenunua Simu hio.nilipoona kua ina vitu vingi ndio nikaanzisha mada hio so nw ninapata ujuzi zaidi kupitia maoni ya wengine we mnyamwezi tengua kauli yako kabla sijakuombei xiaomi yako iibiwe uje ulie lie hapa
 
Mkuu sijamaanisha vibaya ila maana yangu ni kuwa asisikilize ya kuambiwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hahaaaaa usijali si unajua sie wazee wa kazi tu alafu Ingia inbox mara moja kwanza tujadili jibu la kumpa huyo ndugu yetu mngoni wa songea maana najua ni mtani wetu huyo
 
Mkuu samahani kidogo, hizi simu na mimi nimetokea kuzikubali kutokana na recommendations za wadau mbali mbali.

Sasa huwa napenda kusoma user opinions kule gsmarena.com na watu pia wanazisifia except kuna wengi wanaponda camera kwamba hazifanyi vizuri kwenye low light.

Naomba ushuhuda wako mkuu, je ni kweli? Inawezekana camera isiwe kali sana kama hizi flagship za Samsung, lkn napenda tu kujua quality yake unaweza kulinganisha na simu ipi labda.

Of course nimekua interested na model kama yako ingawa sijajua kama price yake itakuaje. Thanks.
Its ok broo ..kiufup kiutendaj cam yake ipo poa cjawah iwekea maxhaka yyt front & back
Gearbest niliwai kuwatumia, lakini kwa siku za karibuni nanua kupitia aliexpress na banggood.
 
Mkuu hivi kuna ugumu gani kumuelewesha mtu bila kutumia maneno kama hayo? Sasa mi nimekaririshwa wapi... Just nimeomba maelezo tu. But thanks, nimekusoma fresh.
kama mfukoni kunene tafuta Xiaomi mi mix hutojuta hata ukiwa mbele ya mtu mwenye iPhone x au hayo ma galaxy s8, uzuri wa xiaomi ni unique product kwa Tanzania yetu angalia hapa Xiaomi Mi Mix - Full phone specifications
 
Nilikuwa natumia Redmi note 3 ila imeibiwa. Ni simu nzuri sana zinakaa na chaji na utumiaji ni rahisi, camera ya ukweli processor nzuri pia. Na storage nzuri pia ambayo unaweza kusync vitu vingi ikiwemo contacts, images, notes, videos na messages za kawaida. Pia ina second space ambayo inaweza kuwa na apps zake tofauti na space ya kwanza (yaani kama windows anavyoingia admin na guest).

Natangaza rasmi kuhamia XIAOMI, na hata PC nitanunua za hii kampuni.

Natafuta mtaalamu anaeweza kunisaidia kuitrack simu yangu niipate tena, nimetumiwa ujumbe na fb huyo mwizi anajaribu kulogin kwenye account yangu ya fb.

Mwenye ujuzi huo at any cost awasiliane nami dm nataka kuirudisha ile simu.
 
Back
Top Bottom