Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sasa ninayokwambia nilitumiwa ni simu. Umidig ya 99usd

Kwanza mzigo ukishatua dar, ukasikaniwa umefika salama, hauibiwi tena. Maana kumpata mfanyakazi alieiba ni rahsi. Pili sisi wengine tushajenga mazoea na wahudumu wa posta, huku mkoani wahudumu ni wawili tu usipomkuta huyu unamkuta yule. Tumekuwa marafiki, anaanzaje kukuibia? Cku hizi mie tracking ikisoma tu mzigo umefika na dada anapiga simu kaka mzigo wako mwingine umekuja.

Tatizo hamjui kwenda nao sawa wawafae kwenye shida pia. Mtu anakupa mizigo daily hata 100 ya soda humpi. Hapa nasafiri wiki ijayo, na nimeagiza simu. Dada kasema ikifika tu nakufowadia[emoji3] kuna kipindi alinitunzia kabisa zaidi ya mwezi.
Hiyo labda Kwa items ndogo ndogo!!
Kwa simu utaambulia box,Charger na manual book's
 
Hahahaaaaaa
 
Okay, nimekupata
 
Kucheza na fursa mie nimepata hadi mke kabisa mzigo hata ukiwa dar anaufatilia utadhan kajaza fomu ya mkopo. Sina shaka kabisa yaani.
 
Sijui ilikuwaje kwako lakini juzi nimechukua mizigo yangu tofautitofauti, kama kawaida nimechukua bila makato yoyote pale posta kuu ya DSM

iyo kulipa 2300 inatokana na kutojaza sanduku la posta lilioko active ndo utalipia iyo elfu mbili lakini ukijaza ilio active unachukua izo parcel ndogo zisizo na mambo ya custom bure kabisa
 
Inawezekana mkuu
Maana jana pia kama kawaida nimejichotea mizigo yangu mingine bila makato

Mizigo yote nachukua bila kuwa na sanduku la posta
iyo kulipa 2300 inatokana na kutojaza sanduku la posta lilioko active ndo utalipia iyo elfu mbili lakini ukijaza ilio active unachukua izo parcel ndogo zisizo na mambo ya custom bure kabisa
 
Wajuvi hivi simu zenye sticker za global rom zinapokea update za android na yapi madhaifu ya simu zenye global rom
 
Msaada wakuu anayejua mahali naweza pata Covers za Note 7 kwa hapa Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…