lufulondama
Member
- Nov 13, 2019
- 95
- 194
Inawezekana mkuu
Maana jana pia kama kawaida nimejichotea mizigo yangu mingine bila makato
Mizigo yote nachukua bila kuwa na sanduku la posta
Wanakata Kulingana na bei ya mzigo soma hiyo form hapo juu kuna makato tofautitofauti
Tena wahudumu wanakazia uwaoneshe Bei halisi toka AliExpress
Kuna mwamba nimekuta kapokea Redmi note 7, wakamkazia... akawaambia nina simu kitochi nashindwa kuwaonesha!!?
Wakamwambia tuambie Bei halisi... akataja laki 2,
wakamwambia tupe Bei halisi hiyo haiwezekani...! Mwisho Wakakubali walipotajiwa laki 3
Hii tozo na dhani ni kwa posta za wilayani. Maana mimi ninatumia box na lipo active lakini nalipia 2350.Inawezekana mkuu
Maana jana pia kama kawaida nimejichotea mizigo yangu mingine bila makato
Mizigo yote nachukua bila kuwa na sanduku la posta
Fanya uagize tu nje mkuu.Msaada wakuu anayejua mahali naweza pata Covers za Note 7 kwa hapa Dar.
Shukrani mkuu.Fanya uagize tu nje mkuu.
Sababu hizo simu bongo ni chache hivyo kukuta mfanya biashara ameleta cover zake sina hakika sana.Shukrani mkuu.
iyo kulipa 2300 inatokana na kutojaza sanduku la posta lilioko active ndo utalipia iyo elfu mbili lakini ukijaza ilio active unachukua izo parcel ndogo zisizo na mambo ya custom bure kabisa
Msaada wakuu anayejua mahali naweza pata Covers za Note 7 kwa hapa Dar.
Ko Alitoa kodi shingapi kwa hii Simu???
Bango nicheki basi inbox au chukua namba yangu hio tuwasiliane mbona kichwa ngumu sana
ninayo ya nillkin rangi blue, bei elfu ishirini na tanoView attachment 1266422
Aje nimpe yangu buku 20 tu
View attachment 1266610View attachment 1266614
Cc Mr. Mobile
Nimetumia box la posta na 2350Tsh. Imenitoka.
Seller gani kakuuzia?View attachment 1266610View attachment 1266614
Cc Mr. Mobile
Nimetumia box la posta na 2350Tsh. Imenitoka.
Anaitwa JIANGXI yupo alibabaBuyer gani kakuuzia?
Umechukua kwa ngapi hiyo Bro?Seller yupo Alibaba store inaitwa.
View attachment 1266761
Asante.Anaitwa JIANGXI yupo alibaba
nipe link yake ya aliexpress pm nikainunueHuku mtaani kwangu hii simu yangu Redmi7 wanaiona Kama iPhone ya Android mkuu, waishikashika na kuigeuzageuza waitazamapo Yani ni kanakwamba hawajawahi kuiona....kumbe kweli walikuwa hawajawahi Iona[emoji38][emoji38]