Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 379
- 278
Inawezekana mkuu
Maana jana pia kama kawaida nimejichotea mizigo yangu mingine bila makato
Mizigo yote nachukua bila kuwa na sanduku la posta
China Post,!! tena kama ni free shipping. hapo bado....Kuna mzigo nilirogwa nikachagua free shipping nilìjuta mzigo uligonga siku 90 ndio ukafika nchini...Hivi inawezekana 17Track wakawa wanatoa data zisizo kweli?? Maana umepita mwezi mzima naona mzigo unazunguka Beijing....
Kuna yeyote aliyewahi kukumbana na hiki kitu hasa kwa China Post?
Alisema mwenyewe EMS
Ona tracking zao zinaumiza kichwa View attachment 1267071
iyo kulipa 2300 inatokana na kutojaza sanduku la posta lilioko active ndo utalipia iyo elfu mbili lakini ukijaza ilio active unachukua izo parcel ndogo zisizo na mambo ya custom bure kabisa
Sidhani Mimi natumia private box na wanacharge 2500 per parcel hapa Posta Chang'ombe maduka 2.jaribu kufanya research mkuu, maana mm nilikuwa napllipiaga pia nikafwatilia nikagundua ilo sasa ivi natumia adress sipati iyo gharama tena
SIJAJUA TOZO YA POSTA IMEAKAAJE MAANA KUNA JAMAA YANGU KIGOMA ALINUNUA COVER YA 2500 LKN KAAMBIWA AENDE NA 2300 LKN MM MZIGO MIDOGOMIDOGO HUWA SIJAWAHI KUTOZWA HAPA MWANZA MAGUWadau niliagiza simu umidigi a5 pro Kwa kufata maelekezo ya wadau hapa. Nashukuru leo nimepokea mzigo wangu Mwanza. Sijatozwa hata buku yani
Nawashukuru sana na mbarikiwe. Mmenisaidia sana na nimejifunza mengi na nitaendelea kujifunza.
Android yenyewe kama android ni stock aka android one.MUI ni opearing system au ni nn? maana xiomi ni android lkn tena naona mui
Unarudishiwa hela uliyofanyia manunuzi tena ikiwa pungufu.ukifungua dispute unaomba hela uliyofanyia matumizi au unaweza kukadiria tu? nikimanisha na usumbufu wa kusubiria miezi miwili
Kuna mzigo wangu bado wik 1na nusu ifike 60days,trackinga yake mziho ukifika airport inatemwa hi ni safari ya nneView attachment 1267617
Dah yani hili ni bonge la funzo sasa
Tracking namba yako ina herufi gani za mwanzo
Mkuu, Custom inawez kuwa shingap kwa mzgo wa laki 4 kwa mfanoiyo kulipa 2300 inatokana na kutojaza sanduku la posta lilioko active ndo utalipia iyo elfu mbili lakini ukijaza ilio active unachukua izo parcel ndogo zisizo na mambo ya custom bure kabisa
Mpaka wakudake nasikia 32% kama sikoseiMkuu, Custom inawez kuwa shingap kwa mzgo wa laki 4 kwa mfano
Inategemea ni mzigo gani unaongelea kama simu ni customs duty 0.6%+Railway Development 1.5%+ Vat 18%Mkuu, Custom inawez kuwa shingap kwa mzgo wa laki 4 kwa mfano
SASA MM MZIGO WANGU INATEMW KILA IKIFIKA AIRPORT WANARUDI WANAFUNGASHA VIZURI IKIFIKA TENA AIRPORT INATEMWA,SASA HII NI SAFARI YA NNE ILA SELLER ANAKUAMBIA KUWA NA SUBIRA IKIFIKA SIKU 60 SIJAPATA MZIGO WANGU ATARUDISHA HELAHao China registered mail ni konyo[emoji3][emoji119] tracking itacheza hapo baijing mpk ukome. Kuna mzigo nimepata jana ulikaa almost two months. Ulipo left country of orgin, status iliganda mwezi mzima. Jumlisha seller alichelewa kuship kama wiki 3 aisee, ukiwa huna roho ngumu utawaza refund kila siku. Ila binafs uwa navumilia hadi tone la mwisho ctakagi pesa yangu ikatwe kwenye ma refund.
Niliwai kuwa na mzigo ziliisha siku 60, seller akaomba wiki 3 nikampa. Mzigo ukafika.
Singapore ni the best, ukisoma tu status shipped overseas TZ/DAR ndani ya siku 5 -9 unaambiwa arrived dastination country
Kwa watu mnaonunua bidhaa za bei kubwa kutoka AliExpress: ningependa kuwa sisitizia muwe mnajilinda kwa kurekodi unboxing zenu. Kama mimi kwa mfano, nikipokea mzigo wangu toka posta siufungui, nafika home, nachukua simu yangu naiweka kwenye kaangle flani then naanza kufungua box na kutoa kitu kimoja baada ya kingine hadi kujiridhisha.
Hii itakupa ulinzi kama bidhaa itakuwa na issue, umetumiwa box tupu n.k maaana ukifungua dispute na kuambatanisha video hiyo utaaminika zaidi. Ma seller wengi sio watu wazuri kule.