Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwasababu mzigo bado hujawa shiped nieongea na seller kama vp anibadilishie kwa redmi note 8
Amesema atanijibu
Mkuu wala usifadhaike moyoni mwako. Hiyo kitu ikija huwezi shindwa kufurahia simu yako. Wala hilo sio tatizo la kusema simu inakasoro maana wameweka resolution ya 720 itakusaidia sana upande wa ukaaji wa chaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…