Yangu ni Chinese version na nimesha update to 11Au hiyo yako ni global version au global rom. Au chinese version.
Naona haka ka percel kametia timu hapa jijini wacha nikafate [emoji16][emoji16][emoji16] afu hiyo charge ya 2.3k naona ni agizo kabisa kutoka juu... [emoji116]Me sijaopen dispute na sijawahi! Mzigo wenyewe wa $2 niopen dispute [emoji16] siku utakapofikia tu sawa sina haraka nao.. View attachment 1272006
japo sio kwa bidhaa zote, code ni friday15, friday10, na friday5. kulingana na bei ya bidhaa husikaLete code mzee
Asilimia kubwa posta za wilayani, wanatumia magari ya abiria tu kutuma mizigo, Mfano mizigo inayotoka Lindi Mjini wanatumia gari moja tu ambayo ni saa nne asubuhi ikipita hio ndio basi,.Posta wana risk sana mizigo yetu. Sijaamini kabisa leo kujua kuwa huku wilayani mizigo inatumwa kwenye costa na basi za abiria toka posta za mkoa[emoji17][emoji17]
Jana tracking ikanionesha mzigo umetumwa kuja wilayani, leo nafika naambiwa haujafika. Nikaanza kudadisi kulikoni. Naambiwa konda aliekabidhiwa kajisahau, walifuata asubuhi konda karudi nao mjini, mpk akija jioni tena ndio watapata mizigo.
Roho imeniuma sana yani. Simu yangu inazunguka na makondakta kwenye vibasi? This country
Inasikitisha aisee. Mzigo wa laki 5 huko usafirishwe kizembe hivyo ?Posta wana risk sana mizigo yetu. Sijaamini kabisa leo kujua kuwa huku wilayani mizigo inatumwa kwenye costa na basi za abiria toka posta za mkoa[emoji17][emoji17]
Jana tracking ikanionesha mzigo umetumwa kuja wilayani, leo nafika naambiwa haujafika. Nikaanza kudadisi kulikoni. Naambiwa konda aliekabidhiwa kajisahau, walifuata asubuhi konda karudi nao mjini, mpk akija jioni tena ndio watapata mizigo.
Roho imeniuma sana yani. Simu yangu inazunguka na makondakta kwenye vibasi? This country
Hii unafanyaje mkuu, yani hizo code unaziweka wapi?japo sio kwa bidhaa zote, code ni friday15, friday10, na friday5. kulingana na bei ya bidhaa husika
Hii unafanyaje mkuu, yani hizo code unaziweka wapi?
Sina mbavu mkuu,ni kweli ukizoea online kitu ambacho ungepata bongo unachukua ghuangzgou na uko radhi kuisubiria 45daysZitakuja kikubwa nikupunguza presha. Pili uwe na app zaidi ya mbili za kufanya tracking. Huwa zinasoma tofauti tofauti. Binafas na tracking app 4. Alafu online na track kwa kutumia web ya posta Tanzania upande wa international, status zake huwa zina maelezo mazuri zaidi. Kuna tracking zinatoa maelezo ya juma jumla.
Kwa mfano, kuna tracking mzigo ukifika nchini, zinaandika tu, arrived at local distribution, zingine zinasema parcel at destination country, nyingine inakupa maelezo kabisa. Dar es salaam inward office of exchange nk nk
Mfano wa pili, ukitrack aliexpress wenyewe mzigo uliokuja kwa singapore post. Inaganda tangu siku inapoondoka china rasmi, watakujuza tu "left the country of orginal" hapo watakupa update ikitua dar. Lakini ukiu track kwenye app nyingine utaonesha mzigo umeenda mpaka Singapore, pale ukitoka unaambia "shipped by postal admin overseas to DAR/TZ" [emoji3][emoji3]
Uzoefu raha bana. Na ukizoea online unaagiza hadi pencil kwa bei ambayo ungepata Bongo
Eee mkuu icho ndo kilichoniponza
Kwasababu mzigo bado hujawa shiped nieongea na seller kama vp anibadilishie kwa redmi note 8
Amesema atanijibu
Naona haka ka percel kametia timu hapa jijini wacha nikafate [emoji16][emoji16][emoji16] afu hiyo charge ya 2.3k naona ni agizo kabisa kutoka juu... [emoji116]View attachment 1274861
Hapa akikubali kubadikisha utamtimiaje hela hyo ya nyongeza nje ya oder?
Igogo hapa..Unapatikana mwanza maenwo ya wapi?
Mambo ya black Friday.......View attachment 1277448
Igogo hapa..
Duu mkuu jana leo mzigo uko mkononi?? Au uko china???Mambo ya black Friday.......View attachment 1277448