Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Me sijaopen dispute na sijawahi! Mzigo wenyewe wa $2 niopen dispute [emoji16] siku utakapofikia tu sawa sina haraka nao.. View attachment 1272006
Naona haka ka percel kametia timu hapa jijini wacha nikafate [emoji16][emoji16][emoji16] afu hiyo charge ya 2.3k naona ni agizo kabisa kutoka juu... [emoji116]
Screenshot_20191128-074254_1574916645237.jpeg
 
Posta wana risk sana mizigo yetu. Sijaamini kabisa leo kujua kuwa huku wilayani mizigo inatumwa kwenye costa na basi za abiria toka posta za mkoa[emoji17][emoji17]

Jana tracking ikanionesha mzigo umetumwa kuja wilayani, leo nafika naambiwa haujafika. Nikaanza kudadisi kulikoni. Naambiwa konda aliekabidhiwa kajisahau, walifuata asubuhi konda karudi nao mjini, mpk akija jioni tena ndio watapata mizigo.

Roho imeniuma sana yani. Simu yangu inazunguka na makondakta kwenye vibasi? This country
 
Asilimia kubwa posta za wilayani, wanatumia magari ya abiria tu kutuma mizigo, Mfano mizigo inayotoka Lindi Mjini wanatumia gari moja tu ambayo ni saa nne asubuhi ikipita hio ndio basi,.
 
Posta wana risk sana mizigo yetu. Sijaamini kabisa leo kujua kuwa huku wilayani mizigo inatumwa kwenye costa na basi za abiria toka posta za mkoa[emoji17][emoji17]

Jana tracking ikanionesha mzigo umetumwa kuja wilayani, leo nafika naambiwa haujafika. Nikaanza kudadisi kulikoni. Naambiwa konda aliekabidhiwa kajisahau, walifuata asubuhi konda karudi nao mjini, mpk akija jioni tena ndio watapata mizigo.

Roho imeniuma sana yani. Simu yangu inazunguka na makondakta kwenye vibasi? This country
Inasikitisha aisee. Mzigo wa laki 5 huko usafirishwe kizembe hivyo ?
 
Pale kwenye promo code ndo unajaza hizo kama mzigo wako ni zaidi ya usd 150 unaweka friday15 means watapunguza dola 15 kama ni kuanzia usd100 utajaza friday10 watapunguza dola 10 kama ni usd 15 na kuendelea utajaza friday5 watapunguza dola 5
Hii unafanyaje mkuu, yani hizo code unaziweka wapi?
 
[emoji23]
Zitakuja kikubwa nikupunguza presha. Pili uwe na app zaidi ya mbili za kufanya tracking. Huwa zinasoma tofauti tofauti. Binafas na tracking app 4. Alafu online na track kwa kutumia web ya posta Tanzania upande wa international, status zake huwa zina maelezo mazuri zaidi. Kuna tracking zinatoa maelezo ya juma jumla.

Kwa mfano, kuna tracking mzigo ukifika nchini, zinaandika tu, arrived at local distribution, zingine zinasema parcel at destination country, nyingine inakupa maelezo kabisa. Dar es salaam inward office of exchange nk nk

Mfano wa pili, ukitrack aliexpress wenyewe mzigo uliokuja kwa singapore post. Inaganda tangu siku inapoondoka china rasmi, watakujuza tu "left the country of orginal" hapo watakupa update ikitua dar. Lakini ukiu track kwenye app nyingine utaonesha mzigo umeenda mpaka Singapore, pale ukitoka unaambia "shipped by postal admin overseas to DAR/TZ" [emoji3][emoji3]

Uzoefu raha bana. Na ukizoea online unaagiza hadi pencil kwa bei ambayo ungepata Bongo
Sina mbavu mkuu,ni kweli ukizoea online kitu ambacho ungepata bongo unachukua ghuangzgou na uko radhi kuisubiria 45days
 
Back
Top Bottom