Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu Nimejilipua na UMIDIGI POWER 64Gb ROM 4GB RAM

Ni baada ya kumuagiza bosi wangu aliyekuwa Marekani aniletee UMIDIGI A5 Pro naye kuniletea Hii Power.

Bado hajanipa Bei So tuombeane ibadilike iwe zawadi!
Boss wako ni wa jinsia gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Nataka nihamie kwenye ulimwengu wa xiaomi
Huvi kati ya xiaomi mi 8 na redmi note 7 pro ipi kali
Kuanzia performance to camera
 
Mi 8 ni flagship na redmi note 7 pro ni midrange...so tegemea performance ya Mi 8 kuwa bora zaidi ya hyo Note 7
Nataka nihamie kwenye ulimwengu wa xiaomi
Huvi kati ya xiaomi mi 8 na redmi note 7 pro ipi kali
Kuanzia performance to camera
 
Mkuu nimeshaorder note 8
Asante kwa maoni yako
 
Wakuu nina redmi note 3 yangu nataka niifufue.inakua kama ina mawenge flani hivi kioo chake na touch pia inazingua pemben mwa kioo.

Sijui kuagiza online,nani tuelewane aniagizie online touch na betri.nmeona vinauzwa bei za $3-9.
Ila nataka vifike haraka zaidi,siwez subiria wiki nyingi ntakosa mambo yakuhide sms na second space shemeji/wifi yenu asije nidaka bure!
 
Mcheki Mr mobile huyo hapo akufanyie manuva
 
Pole sana mkuu nimetumia Sana kwa hayo maelezo dah hvi kweli inaingiaje akilini hii kitu, kwanini posta hawana Miundombinu ya usafirishaji?
Kwanini Sasa dah pole mno mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…