Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Mi Band 4 [emoji91]View attachment 1279549
Walipo achia MIUI 11 ukaaji wa chaji umekuwa mzuri sana.SangaweJr vp mkuu hicho chuma chako cha note 8
Kuanzia ukaaji chaji had camera
Nina hamu nayo sana nami nikamate yangu aisee,Walipo achia MIUI 11 ukaaji wa chaji umekuwa mzuri sana.
Camera ipo vizuri pia. Na nimeinogesha GCamera picha zipo clear.
Kiutendaji ipo fasta sana na ni smooth mno.
In short ni simu ambayo ikiwa mkononi unajisikia na kujiamini pia muonekano wa nje ni classic sana. Hasa hii moonlight.
OkSawa mkuu,nitakucheki siku nikija town,mm nipo magu
Sijajua ni kwanini hii mkuu..! Me nlilipia 2.3k hapo hapo Posta, Nyamagana...Mkuu mbona Mimi nimechukua parcel 3 sijalipia hata buku. Posta mwanzaView attachment 1278010
Chukua Mnyama Redmi note 7 pro mkuu..Nataka nihamie kwenye ulimwengu wa xiaomi
Huvi kati ya xiaomi mi 8 na redmi note 7 pro ipi kali
Kuanzia performance to camera
Sijajua ni kwanini hii mkuu..! Me nlilipia 2.3k hapo hapo Posta, Nyamagana...
Nina hamu nayo sana nami nikamate yangu aisee,
Ijumaa nimeorder sema ndo sijajua wenge la huyu seller
Vp kwenye box inakuja na 18W charger au ni 10w?
Chukua Mnyama Redmi note 7 pro mkuu..
Naona nasisi watu wa Note 6 pro tumekumbukwa [emoji2]
View attachment 1280603
Install hii App boss toka PlaystoreMkuu font kama hii kwenye redmi unawekaje
M nliagiza wireless hear phone kwanza ili nione kama wataweza leta kwa anuani yang,Nshapokea na sasa nataka niagize simu.View attachment 1265148View attachment 1265149
Boss uliichukua bei gani hiyo saa?Mi Band 4 [emoji91]View attachment 1279549
Bose ninaidownload hiyo app but font ya rosemary haipo nakuta rosewood na ingine hebu nielekeze ingia izungushie alama itupie hapa nimeipenda kweli kweli
Bose ninaidownload hiyo app but font ya rosemary haipo nakuta rosewood na ingine hebu nielekeze ingia izungushie alama itupie hapa nimeipenda kweli kweli