Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mi Band 4 [emoji91]
IMG_20191202_180958.jpeg
 
SangaweJr vp mkuu hicho chuma chako cha note 8
Kuanzia ukaaji chaji had camera
Walipo achia MIUI 11 ukaaji wa chaji umekuwa mzuri sana.

Camera ipo vizuri pia. Na nimeinogesha GCamera picha zipo clear.

Kiutendaji ipo fasta sana na ni smooth mno.

In short ni simu ambayo ikiwa mkononi unajisikia na kujiamini pia muonekano wa nje ni classic sana. Hasa hii moonlight.
 
Nina hamu nayo sana nami nikamate yangu aisee,
Ijumaa nimeorder sema ndo sijajua wenge la huyu seller
Vp kwenye box inakuja na 18W charger au ni 10w?
 
Wakuu, hivi kama unatumia CRDB Bank then ukacancel order hela inarudi automatically au inakuaje?
 
Nimeitafuta sana font ya cool jazz, ila nimekwama, kwa mwenye kuelewa naipata vipi anisaidie.
 
Niliagiza Xiaomi note 8, sasa leo nimepokea sms kutoka posta inayoanza na RDP, kuna mdau alisema kama sms itaanza na RDP basi utatakiwa kulipa kodi, sasa wakuu naomba kwa yoyote anayejua makadirio ya kodi ya simu aniambie tafadhari.
 
Back
Top Bottom