Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.Mkuu ukienda usisahau kuleta mrejesho,
Uchochezi huu mdogo wangu
Kuna mdau alitoa maoni na elimu kuhusu kutumia invoice declaration value fake ambayo seller atakua amekutumia na inaonesha jinsi mchanganuo wa hio invoice ili muende nayo kama copy na ushahidi tosha, kuhusu kumuonesha apps na page uliponunulia unaweza ficha hata simu kuepuka kutozwa kodi kubwa.Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.
yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.
Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.
Duu!!Ina mana ni bora ungenunua dukani bongo tu.!Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.
yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.
Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.
Baadae nilikuja kustuka nikajilaumu kuwa ningemwambia sina bando.Kuna mdau alitoa maoni na elimu kuhusu kutumia invoice declaration value fake ambayo seller atakua amekutumia na inaonesha jinsi mchanganuo wa hio invoice ili muende nayo kama copy na ushahidi tosha, kuhusu kumuonesha apps na page uliponunulia unaweza ficha hata simu kuepuka kutozwa kodi kubwa.
halafu kingine nikangundua kumbe seller aliandika 159.09USD hii nimekuja kuona baada ya kukabidhiwa mzigo.Kuna mdau alitoa maoni na elimu kuhusu kutumia invoice declaration value fake ambayo seller atakua amekutumia na inaonesha jinsi mchanganuo wa hio invoice ili muende nayo kama copy na ushahidi tosha, kuhusu kumuonesha apps na page uliponunulia unaweza ficha hata simu kuepuka kutozwa kodi kubwa.
Ujinga ni mara ya kwanza, kwa sasa siwezi kupigwa kodi kubwa, nitakuwa nakula sahani moja na Seller ili kukwepa kodi 😂?Duu!!Ina mana ni bora ungenunua dukani bongo tu.!
Ujinga ni mara ya kwanza, kwa sasa siwezi kupigwa kodi kubwa, nitakuwa nakula sahani moja na Seller ili kukwepa kodi [emoji23]?
Kweli mkuu inauma sanaPole sana mkuu ila Inauma hii ishu
Duuh pole sana mkuu, me nimeagiza hiyo hiyo note 8 ila niko huku mkoaniNimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.
yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.
Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.
Hata hii mkuu imeku gharimu, Hakukuwa na namna yoyote ya kufanya hapo. kabla ya order yajenge kwanza na seller.halafu kingine nikangundua kumbe seller aliandika 159.09USD hii nimekuja kuona baada ya kukabidhiwa mzigo.
Na pale mzigo unafunguliwa wanacheki kama bei na simu vinaendana.
Nimegiza mizigo mingi ikiwemo simu zaidi ya 10 nikiwa mkoani sikuwahi kupigwa kodi.
Nimemtext bado hajajibu
Me too nilichukua kwa Tsh 2350.We nenda tu boss... kuna mtu redmi note 8 hiyo kapokea kwa kulipa 2330 tu
Hii kitu ina boaaa hatari mkuu...Seller wa AliExpress sijui wanakwama wapi, hawajibu wateja kwa wakati, hapo kuja kukujibu ushapigika vya kutosha
Nimetokea kuichukia tracking no. Za RP yaani china registration air maileo ni siku ya 57 lkn mzigo wangu bado inazunguka china.return return hadi nimechoka.
Wadau mlishakutana na kitu kama hiki?View attachment 1282815
Aisee. Pole Sana. Pale sio pazuri. Simu badala ya kuifurahi unaanza huzunika.😂 imenitoka elfu 88 na centi kadhaa, kwa simu ya laki na 4
Bora hata wewe ulikuta seller kaandika USD 159. Mi ilinikuta nimefika pale nikaulizwa mzigo wako thamani yke ni sh ngapi hapo nishawasiliana na manzi mmoja kutoka Xiaomi Mi store anitumie invoice, kumbe kantumia Invoice kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Mzigo ulikuwa ni USD 181. Kuulizwa ikabidi nijiume pale nikataja thamani yake ni 250,000. Nikapigiwa hesabu ya hiyo 250,000. Ambapo nililipa kama 51,000. Kuja kupewa parcel naona seller kaandika USD 40.halafu kingine nikangundua kumbe seller aliandika 159.09USD hii nimekuja kuona baada ya kukabidhiwa mzigo.
Na pale mzigo unafunguliwa wanacheki kama bei na simu vinaendana.
Nimegiza mizigo mingi ikiwemo simu zaidi ya 10 nikiwa mkoani sikuwahi kupigwa kodi.
Bora hata wewe ulikuta seller kaandika USD 159. Mi ilinikuta nimefika pale nikaulizwa mzigo wako thamani yke ni sh ngapi hapo nishawasiliana na manzi mmoja kutoka Xiaomi Mi store anitumie invoice, kumbe kantumia Invoice kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Mzigo ulikuwa ni USD 181. Kuulizwa ikabidi nijiume pale nikataja thamani yake ni 250,000. Nikapigiwa hesabu ya hiyo 250,000. Ambapo nililipa kama 51,000. Kuja kupewa parcel naona seller kaandika USD 40.