Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu ukienda usisahau kuleta mrejesho,
Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.

yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.

Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.
 
Kuna mdau alitoa maoni na elimu kuhusu kutumia invoice declaration value fake ambayo seller atakua amekutumia na inaonesha jinsi mchanganuo wa hio invoice ili muende nayo kama copy na ushahidi tosha, kuhusu kumuonesha apps na page uliponunulia unaweza ficha hata simu kuepuka kutozwa kodi kubwa.
 
Duu!!Ina mana ni bora ungenunua dukani bongo tu.!
 
Kuna mdau alitoa maoni na elimu kuhusu kutumia invoice declaration value fake ambayo seller atakua amekutumia na inaonesha jinsi mchanganuo wa hio invoice ili muende nayo kama copy na ushahidi tosha, kuhusu kumuonesha apps na page uliponunulia unaweza ficha hata simu kuepuka kutozwa kodi kubwa.
Baadae nilikuja kustuka nikajilaumu kuwa ningemwambia sina bando.
 
Kuna mdau alitoa maoni na elimu kuhusu kutumia invoice declaration value fake ambayo seller atakua amekutumia na inaonesha jinsi mchanganuo wa hio invoice ili muende nayo kama copy na ushahidi tosha, kuhusu kumuonesha apps na page uliponunulia unaweza ficha hata simu kuepuka kutozwa kodi kubwa.
halafu kingine nikangundua kumbe seller aliandika 159.09USD hii nimekuja kuona baada ya kukabidhiwa mzigo.

Na pale mzigo unafunguliwa wanacheki kama bei na simu vinaendana.

Nimegiza mizigo mingi ikiwemo simu zaidi ya 10 nikiwa mkoani sikuwahi kupigwa kodi.
 
Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.

yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.

Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.
Duuh pole sana mkuu, me nimeagiza hiyo hiyo note 8 ila niko huku mkoani
 
halafu kingine nikangundua kumbe seller aliandika 159.09USD hii nimekuja kuona baada ya kukabidhiwa mzigo.

Na pale mzigo unafunguliwa wanacheki kama bei na simu vinaendana.

Nimegiza mizigo mingi ikiwemo simu zaidi ya 10 nikiwa mkoani sikuwahi kupigwa kodi.
Hata hii mkuu imeku gharimu, Hakukuwa na namna yoyote ya kufanya hapo. kabla ya order yajenge kwanza na seller.
 
Seller wa AliExpress sijui wanakwama wapi, hawajibu wateja kwa wakati, hapo kuja kukujibu ushapigika vya kutosha
Hii kitu ina boaaa hatari mkuu...

Halafu wale seller wanao uza vitu vidogo vidogo to me naona wapo faster kujibu kuliko hawa wanao uza Simu.
 
Seller wangu wote wa aliexpres naona wanaounguza garama,wanaandika kiwango cha chini
Ninachokifanya nikimaliza kuweka oder lazima nitext seller,lkn kujibiwa mpaka kesho yake
 
Nimetokea kuichukia tracking no. Za RP yaani china registration air maileo ni siku ya 57 lkn mzigo wangu bado inazunguka china.return return hadi nimechoka.
Wadau mlishakutana na kitu kama hiki?
Screenshot_2019-12-04-18-56-11.jpeg
 
Hahah hiyo niiitest mwezi wa 10 kwa mzigo mdogo lakini
Hadi leo nimesahau, hapa katikati nimeagiza mizigo kibao kwa SG POST yote ilifika
Tracking imebaki hiyo ya China Post
Nilikua najaribu kumbe haifai
Nimetokea kuichukia tracking no. Za RP yaani china registration air maileo ni siku ya 57 lkn mzigo wangu bado inazunguka china.return return hadi nimechoka.
Wadau mlishakutana na kitu kama hiki?View attachment 1282815
 
halafu kingine nikangundua kumbe seller aliandika 159.09USD hii nimekuja kuona baada ya kukabidhiwa mzigo.

Na pale mzigo unafunguliwa wanacheki kama bei na simu vinaendana.

Nimegiza mizigo mingi ikiwemo simu zaidi ya 10 nikiwa mkoani sikuwahi kupigwa kodi.
Bora hata wewe ulikuta seller kaandika USD 159. Mi ilinikuta nimefika pale nikaulizwa mzigo wako thamani yke ni sh ngapi hapo nishawasiliana na manzi mmoja kutoka Xiaomi Mi store anitumie invoice, kumbe kantumia Invoice kwa ajili ya matumizi ya ofisi. Mzigo ulikuwa ni USD 181. Kuulizwa ikabidi nijiume pale nikataja thamani yake ni 250,000. Nikapigiwa hesabu ya hiyo 250,000. Ambapo nililipa kama 51,000. Kuja kupewa parcel naona seller kaandika USD 40.
 
Mi huyu wa kwangu sijui kaandikaje kwenye parcel

Back
Top Bottom