Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,702
Nimeenda nimetoka Tsh 88734.72/-, gharama ya simu ilikuwa TSH 421000/-.. kwahyo katika calculation zao wamesema ni 21% ndio tax.Mkuu ukienda usisahau kuleta mrejesho,
kuna jamaa mwingine yeye ametozwa kama elfu 9 kwa simu ya 19USD.
yani wakijua tu ile ni simu basi lazima wakupige cha juu.
Nimefika pale nikaulizwa hii simu ina bei gani nikasema Tsh 390,000/-(hapa nilidanganya ili nisipigwe kodi kubwa) nikaambiwa lete tuone kwenye purchase history nikafungua akaona ni 175.62USD ikaandikwa kwenye karatasi kisha ikapelekwa OFISI YA TRA, baada ya muda nikaitwa ili nipewe total tax.