Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Tafuta Xiaomi MI 5x inasifa zote ulizozitaja..Mkuu kwa bajeti ya 350k-400k napata xiaomi gani ambayo iko poa kila idara kulingana na value for money kama Camera low light,Battery life,Size display 5.5 above,Processor isishuke 625 n.k niweke list yake nataka nibadili simu maana msauziy Chief-Mkwawa
hii inatumia custom soc yakwao wenyewe xiaomi, inaitwa surge.
ni kama hizi redmi, haina core kubwa.
za india kivipihizi simu za india
No...hizi simu za india
unlocked ina maana inatumika nchi yoyote duniani, haijkuwa locked kwenye line moja.Mkuu katika ununuaji wa simu katika masoko ya nje hivi simu ukiona pale wameandika unlocked hii ina maana gani na je hiyo simu kwa matumizi ya TZ itasumbua ebu nipatie somo katika hilo
Ahsante sana mkuu, ila nilichokifanya baada ya kugundua nimeibiwa simu nili badili password ya mi cloud kwa kuogopa kwamba mwizi ana weza kuaccess data muhimu sana nilivohifadhi kule. Unadhani hata baada ya kubadili password nina nafasi ya kuipata?Mkuu kama ulkua umelog in na mi account ama mi cloud, bas bila shaka unaweza kuipata...
cha msingi kama una boksi la cmu uloibiwa bas wasilisha na IMEI namba polisi...pia hili litakua msaada mkubwa sana kwako, naambatanisha picha uone site gan unatakiwa kuingia kwa kutumia kifaa kingine chochote cha kielektroniki ueze ku access simu yako uloibiwa maana uyo mtu awez futa account yako mpka awe na pasword
bas kama ulikua ume log in angalia mwsho wa picha ambatanishi utaona kuna sehem pameandikwa "find my device" na kwa chini kuna URL unaeza access katika browser yoyote ueze kuilock cmu yako ama kuilocate mahali ilipo...tena uzur uyo mwizi anawasha na data maana umesema anajarbu ku log in kwa account yako ya facebook
unaipata as long as ww ndo mmiliki wa acount hyo na pasword ukiwa nazo...Ahsante sana mkuu, ila nilichokifanya baada ya kugundua nimeibiwa simu nili badili password ya mi cloud kwa kuogopa kwamba mwizi ana weza kuaccess data muhimu sana nilivohifadhi kule. Unadhani hata baada ya kubadili password nina nafasi ya kuipata?
Natanguliza shukhrani.
Mh nimejaribu lakini mrejesho sio mzuri, naomba kuja DM.unaipata as long as ww ndo mmiliki wa acount hyo na pasword ukiwa nazo...
just locate it and you can also lock it remotely
Huu mzigo ninausubiri kwa hamu sana [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Tafuta Xiaomi MI 5x inasifa zote ulizozitaja..
MI account mi naitoa ndani ya sec.20 kiasi kwamba huwezi kuiona simu tena kupitia MI accaount kwa hio we hesabu maumivu tu my frnd !Ahsante sana mkuu, ila nilichokifanya baada ya kugundua nimeibiwa simu nili badili password ya mi cloud kwa kuogopa kwamba mwizi ana weza kuaccess data muhimu sana nilivohifadhi kule. Unadhani hata baada ya kubadili password nina nafasi ya kuipata?
Natanguliza shukhrani.
Ahsante, nimeshapata way forward from police.MI account mi naitoa ndani ya sec.20 kiasi kwamba huwezi kuiona simu tena kupitia MI accaount kwa hio we hesabu maumivu tu my frnd !
Simu ikiibiwa ikawahi kwa wajanja kana mimi hapa hio imetoka aise
By the way, kua "mjanja" kwa vitu vya wizi sio sifa njema.MI account mi naitoa ndani ya sec.20 kiasi kwamba huwezi kuiona simu tena kupitia MI accaount kwa hio we hesabu maumivu tu my frnd !
Simu ikiibiwa ikawahi kwa wajanja kana mimi hapa hio imetoka aise
I think New Year utakuwa na kitu kipya...Huu mzigo ninausubiri kwa hamu sana [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahaaa kwamba simu ina store,master na rest room.NILIKUA SIJAAMUA PIA KUTUMIA SECOND SPACE BUT NOW HAPA NAINJOY ATA MAGENDO Yngu.ntapiga yote but hakun WIFU KUSTUKIA HAPA YEYE NIMEMWACHIA PASWED ZA FIRST SPACE NA FINGERPRINT AMEWEKA ILA SECOND SPACE NIKO NA PASWED INGINE KABISA
bei ghali ya kiasi gani?Hivi mbona vitu kama TV,MUSIC SOUND SYSTEM na LAPTOP,NA HOME APPLIANCE zile electronics huku aliexpress vipo bei ghali kuna soko lingine reliable ambavyo vinakuwa reasonable na hakuna utapeli
Kwanza havipo vya kutosha unakuta ni zaidi ya bei ya nyumbani mfano sound system unakuta home mpaka 600k unapata ila kule naona 800k hadi m1 na laptop nyingi ni za kizamani alafu around 400k to 500k huku specs hazieleweki mala 160gb ram 4 hiyo processor hata haieleweki ni generation gani na vingine huwa sivipati kabisa na hata iphone 6s + naona bei ni sawa za Bongo tu au utakuta pia huko ni ndefu pengine sina uzoefu ama laah anybody prove me wrong!bei ghali ya kiasi gani?