Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu kwa bajeti ya 350k-400k napata xiaomi gani ambayo iko poa kila idara kulingana na value for money kama Camera low light,Battery life,Size display 5.5 above,Processor isishuke 625 n.k niweke list yake nataka nibadili simu maana msauziy Chief-Mkwawa
Tafuta Xiaomi MI 5x inasifa zote ulizozitaja..
cbae72fca63a488a1809208d2a7ad9a5.jpg
 
hii inatumia custom soc yakwao wenyewe xiaomi, inaitwa surge.

ni kama hizi redmi, haina core kubwa.

Mkuu katika ununuaji wa simu katika masoko ya nje hivi simu ukiona pale wameandika unlocked hii ina maana gani na je hiyo simu kwa matumizi ya TZ itasumbua ebu nipatie somo katika hilo
 
Mkuu katika ununuaji wa simu katika masoko ya nje hivi simu ukiona pale wameandika unlocked hii ina maana gani na je hiyo simu kwa matumizi ya TZ itasumbua ebu nipatie somo katika hilo
unlocked ina maana inatumika nchi yoyote duniani, haijkuwa locked kwenye line moja.

ila kuna kitu ukifahamu.
-2g haina neno karibia dunia nzima tunatumia frequency sawa
-3g karibia dunia nzima tunatumia 2100mhz kasoro mitandao michache ya cdma na T-mobile
-4g kuna mgawanyiko mkubwa sana kuna bands tofauti kama 40, tanzania zetu ni 800, 1800 na 2300. hivyo angalau band mbili au moja simu yako iwe nayo, ili ufaidi speed ya 4g. hasa hasa 800 na 1800.

kuhakiki band ni muhimu, unaweza nunuA simu unlocked ila isipandishe mnara
 
Mkuu kama ulkua umelog in na mi account ama mi cloud, bas bila shaka unaweza kuipata...
cha msingi kama una boksi la cmu uloibiwa bas wasilisha na IMEI namba polisi...pia hili litakua msaada mkubwa sana kwako, naambatanisha picha uone site gan unatakiwa kuingia kwa kutumia kifaa kingine chochote cha kielektroniki ueze ku access simu yako uloibiwa maana uyo mtu awez futa account yako mpka awe na pasword

bas kama ulikua ume log in angalia mwsho wa picha ambatanishi utaona kuna sehem pameandikwa "find my device" na kwa chini kuna URL unaeza access katika browser yoyote ueze kuilock cmu yako ama kuilocate mahali ilipo...tena uzur uyo mwizi anawasha na data maana umesema anajarbu ku log in kwa account yako ya facebook
a8a39397630b14561799870a2b2724a5.jpg
Ahsante sana mkuu, ila nilichokifanya baada ya kugundua nimeibiwa simu nili badili password ya mi cloud kwa kuogopa kwamba mwizi ana weza kuaccess data muhimu sana nilivohifadhi kule. Unadhani hata baada ya kubadili password nina nafasi ya kuipata?
Natanguliza shukhrani.
 
unaipata as long as ww ndo mmiliki wa acount hyo na pasword ukiwa nazo...
just locate it and you can also lock it remotely
 
unaipata as long as ww ndo mmiliki wa acount hyo na pasword ukiwa nazo...
just locate it and you can also lock it remotely
Mh nimejaribu lakini mrejesho sio mzuri, naomba kuja DM.
Kuna dalili mwaka ukaisha na kicheko.
 
Hio simu haisapoti playstore sasa ina raha gani ?
 
Ahsante sana mkuu, ila nilichokifanya baada ya kugundua nimeibiwa simu nili badili password ya mi cloud kwa kuogopa kwamba mwizi ana weza kuaccess data muhimu sana nilivohifadhi kule. Unadhani hata baada ya kubadili password nina nafasi ya kuipata?
Natanguliza shukhrani.
MI account mi naitoa ndani ya sec.20 kiasi kwamba huwezi kuiona simu tena kupitia MI accaount kwa hio we hesabu maumivu tu my frnd !

Simu ikiibiwa ikawahi kwa wajanja kana mimi hapa hio imetoka aise
 
MI account mi naitoa ndani ya sec.20 kiasi kwamba huwezi kuiona simu tena kupitia MI accaount kwa hio we hesabu maumivu tu my frnd !

Simu ikiibiwa ikawahi kwa wajanja kana mimi hapa hio imetoka aise
Ahsante, nimeshapata way forward from police.
Good night.
 
NILIKUA SIJAAMUA PIA KUTUMIA SECOND SPACE BUT NOW HAPA NAINJOY ATA MAGENDO Yngu.ntapiga yote but hakun WIFU KUSTUKIA HAPA YEYE NIMEMWACHIA PASWED ZA FIRST SPACE NA FINGERPRINT AMEWEKA ILA SECOND SPACE NIKO NA PASWED INGINE KABISA
 
Hahaaa kwamba simu ina store,master na rest room.

Mchina anataka kuiletea dunia vitu vingine kabisaa.
 
Hivi mbona vitu kama TV,MUSIC SOUND SYSTEM na LAPTOP,NA HOME APPLIANCE zile electronics huku aliexpress vipo bei ghali kuna soko lingine reliable ambavyo vinakuwa reasonable na hakuna utapeli
 
Hivi mbona vitu kama TV,MUSIC SOUND SYSTEM na LAPTOP,NA HOME APPLIANCE zile electronics huku aliexpress vipo bei ghali kuna soko lingine reliable ambavyo vinakuwa reasonable na hakuna utapeli
bei ghali ya kiasi gani?
 
bei ghali ya kiasi gani?
Kwanza havipo vya kutosha unakuta ni zaidi ya bei ya nyumbani mfano sound system unakuta home mpaka 600k unapata ila kule naona 800k hadi m1 na laptop nyingi ni za kizamani alafu around 400k to 500k huku specs hazieleweki mala 160gb ram 4 hiyo processor hata haieleweki ni generation gani na vingine huwa sivipati kabisa na hata iphone 6s + naona bei ni sawa za Bongo tu au utakuta pia huko ni ndefu pengine sina uzoefu ama laah anybody prove me wrong!
 
Back
Top Bottom