Mkuu kama ulkua umelog in na mi account ama mi cloud, bas bila shaka unaweza kuipata...
cha msingi kama una boksi la cmu uloibiwa bas wasilisha na IMEI namba polisi...pia hili litakua msaada mkubwa sana kwako, naambatanisha picha uone site gan unatakiwa kuingia kwa kutumia kifaa kingine chochote cha kielektroniki ueze ku access simu yako uloibiwa maana uyo mtu awez futa account yako mpka awe na pasword
bas kama ulikua ume log in angalia mwsho wa picha ambatanishi utaona kuna sehem pameandikwa "find my device" na kwa chini kuna URL unaeza access katika browser yoyote ueze kuilock cmu yako ama kuilocate mahali ilipo...tena uzur uyo mwizi anawasha na data maana umesema anajarbu ku log in kwa account yako ya facebook