Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja


kwa vitu vya kimarekani amazon ndo kwenyewe. laptop, hizo iphone, utapata huko. pia kuna site za pale pale ndani kama vile newegg, bestbuy, microcentre etc

hizo music system na tv ni nzito sana unaplan kusafirisha vipi? ujue ni mamia ya dola yatatumika kwenye usafirishaji tu.

pia ebay unaweza pata,
 

Anhaa hapo sasa nimekupata kiongozi
Ila which one liko most useful kati ya hayo amazon,ebay n hayo uliyo nambia
 
Hello guys kwa bajeti ya 250-400 napata device ipi ya xiaomi?priority ni chaji kwanza
 
Hello guys kwa bajeti ya 250-400 napata device ipi ya xiaomi?priority ni chaji kwanza
Xiaomi Redmi Note 4X Note4 X Snapdragon 625 Octa Core Mobile Phone 3GB RAM 32GB ROM 13.0MP 5.5" FHD Fingerprint ID. Utaitia mkononi kwa 350k.
 
NILIKUA SIJAAMUA PIA KUTUMIA SECOND SPACE BUT NOW HAPA NAINJOY ATA MAGENDO Yngu.ntapiga yote but hakun WIFU KUSTUKIA HAPA YEYE NIMEMWACHIA PASWED ZA FIRST SPACE NA FINGERPRINT AMEWEKA ILA SECOND SPACE NIKO NA PASWED INGINE KABISA
Wacha mkuu noma eeeh
 
Yaah bro, nikuwa mvumilivu tu.
Nipo katika hatua za kuchek ile mishe coz nilipo fikia bank haipo mbali.
Okay boss, just do it. Kuparchase online unaweza ukawa addicted. Unaweza kusahau kabisa kununua simu maduka ya hapa Bongo.
 
[emoji120] chief uko deep sana kwenye masuala haya kwa kujitoa kwako unatusaidia wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…