Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kwanza havipo vya kutosha unakuta ni zaidi ya bei ya nyumbani mfano sound system unakuta home mpaka 600k unapata ila kule naona 800k hadi m1 na laptop nyingi ni za kizamani alafu around 400k to 500k huku specs hazieleweki mala 160gb ram 4 hiyo processor hata haieleweki ni generation gani na vingine huwa sivipati kabisa na hata iphone 6s + naona bei ni sawa za Bongo tu au utakuta pia huko ni ndefu pengine sina uzoefu ama laah anybody prove me wrong!
kwa vitu vya kimarekani amazon ndo kwenyewe. laptop, hizo iphone, utapata huko. pia kuna site za pale pale ndani kama vile newegg, bestbuy, microcentre etc
hizo music system na tv ni nzito sana unaplan kusafirisha vipi? ujue ni mamia ya dola yatatumika kwenye usafirishaji tu.
pia ebay unaweza pata,